....ila kuna kitu nimeona hapa
Kuna Unduminakuwili na Wanduminakuwili.
Nafikiri nawaona watu humu humu(kwenye mada hii)wanao ona Unyama umefanyika na Wanahuruma, yaani wana Ubinadamu wakati mwingine hao hao nawa ona wakichagiza ya kulokota na wanajiondoa huo Ubinadamu....wakati Familia za watu zikiteseka Duh
Kuna wale wanaoona Polisi hawafanyii/hawaupatii wajibu wao kipaumbele kwenye masuala muhimu. Lakini baadhi waliona ni sawa polisi kutumika katika Ungamizaji wa Jamii nzima Loliondo "Masai Genocide" kwa sababu nyepesi kama za 'kiMazingira'
Uwezekano wa watu fulani kuona kukatwa kwa Miti hapo kutapunguza makali ya Mauaji haunishangazi
Nawashangaa wanoona huruma, kwa kinafiki.
Amani iwafikie