Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Ndio muache mizaha inayoweza kuwaharishia maishaKuna clip moja nimeiona wasp mtu anampiga mwezie na nyundo kichwani na watu wengine wanacheka [emoji24][emoji24][emoji24]so pain sijui huwa tuna waza nini mpaka mtu unafanya ukatili wa hivi
Yaan mtu anapigwa na nyundo kichwani tena mara nyingi hadi ubongo unatoka na kusambaa jamaa bado anapiga tu 😢Kuna clip moja nimeiona wasp mtu anampiga mwezie na nyundo kichwani na watu wengine wanacheka [emoji24][emoji24][emoji24]so pain sijui huwa tuna waza nini mpaka mtu unafanya ukatili wa hivi
Yaan mtu anapigwa na nyundo kichwani tena mara nyingi hadi ubongo unatoka na kusambaa jamaa bado anapiga tu [emoji22]
Ndio muache mizaha inayoweza kuwaharishia maisha
Tumefikia huko mkuuUkisikia polisi mtu kapewa kesi ya kichwa (kesi ya mauaji) ndio matukio kama haya ambayo polisi haijisumbui kuyachunguza ila wanakaa nayo kiporo.. Siku msipoenda sawa unapewa kesi ya mauaji
Nimeiona, sidhani kama jamaa ni mzima kichwani aiseeKumbe na wewe umeiona yule jamaa siyo kabisa
Naafiki.Mungu ampokee mja wake.
Maoni ya wsnanchi kukata miti ili kuweka usslama ninayaona si sahihi.
Hapo ni kuweka doria na ulinzi shirikishi.
Mazingira tunayahitaji kuyalinda pia
Rudisha avatar picha Yako tuliyokuzoea ya jamaa kavaa tracksuit ya blue na kofiaKuna clip moja nimeiona wasp mtu anampiga mwezie na nyundo kichwani na watu wengine wanacheka [emoji24][emoji24][emoji24]so pain sijui huwa tuna waza nini mpaka mtu unafanya ukatili wa hivi
Ile clip nilitegemeaga itazua mjadala ila sikuona.. na sikuitazama niliona cover tu zaidi waliotuma jinsi tu walivyokua wanaijadili nilishindwa kuangalia inaonekana ni ukatili wa hali ya juu.. ila wanasema sio bongoKumbe na wewe umeiona yule jamaa siyo kabisa
Yaanii anatenda hivyo na anafika nyumbani kwake anaupiga ugali kwa kisamvu bila shida yoyote?!!!! Daah, tumeumbwa tofauti sana.
Mungu ampokee mja wake.
Maoni ya wsnanchi kukata miti ili kuweka usslama ninayaona si sahihi.
Hapo ni kuweka doria na ulinzi shirikishi.
Mazingira tunayahitaji kuyalinda pia