Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,574
- 4,856
Kuna maeneo kama ya Tegeta masaiti wiki 3 nyuma Panya road wamepita kwenye nyumba kama 20 hivi na kuiba huku wakijeruhi watu na mapanga.
Maeneo ya Mbezi beach Juliana na mtaa wa Mayoa panya road siku 3 zilizopita wamevamia nyumba kadhaa kama 5 na kujeruhi wakazi huki wakiiba.
Ni wakati wa wananchi na polisi kuungana pamoja kukomesha vitendo vya wizi vinavyofanya na vikundi vya sio chini ya vijana 20 maarufu kama panya road