hali ya usalama dar es salaam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Wananchi msiogope kuja Sabasaba, hali ya usalama imeimarishwa

    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania na Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) David Alphonce Misime amesema hali ya usalama katika viwanja vya Sabasaba na jiji la Dar es Salaam imeimarishwa huku jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama vikiwatoa hofu wananchi wanaofika katika viwanja hivyo...
  2. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbezi Beach na Tegeta Masaiti kumekuwa na tishio la vijana wa Panya Road

    Kuna maeneo kama ya Tegeta masaiti wiki 3 nyuma Panya road wamepita kwenye nyumba kama 20 hivi na kuiba huku wakijeruhi watu na mapanga. Maeneo ya Mbezi beach Juliana na mtaa wa Mayoa panya road siku 3 zilizopita wamevamia nyumba kadhaa kama 5 na kujeruhi wakazi huki wakiiba. Ni wakati wa...
Back
Top Bottom