Jeshi la Polisi: Wananchi msiogope kuja Sabasaba, hali ya usalama imeimarishwa

Jeshi la Polisi: Wananchi msiogope kuja Sabasaba, hali ya usalama imeimarishwa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776

Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania na Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) David Alphonce Misime amesema hali ya usalama katika viwanja vya Sabasaba na jiji la Dar es Salaam imeimarishwa huku jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama vikiwatoa hofu wananchi wanaofika katika viwanja hivyo.

Hatua hii inakuja huku kukiwa na wito wa maandamano kutoka kwa baadhi ya wanaharakati wa mitandaoni, wakidai mabadiliko na uwajibikaji kwa serikali.
 
Gen Z wenye uchungu na nia ya kuja kuikomboa Tanzania, nashauri tujifunze kutengeneza Drones
 
nawapongeza jeshi la polisi kwa kuhakikisha usalama ni wa kutosha kote nchini
 
Back
Top Bottom