maonyesho ya sabasaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Wananchi msiogope kuja Sabasaba, hali ya usalama imeimarishwa

    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania na Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) David Alphonce Misime amesema hali ya usalama katika viwanja vya Sabasaba na jiji la Dar es Salaam imeimarishwa huku jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama vikiwatoa hofu wananchi wanaofika katika viwanja hivyo...
  2. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Leo ilikuwa ni anniversary ya miaka 50 ya maonyesho ya sabasaba

    Sabasaba ni alama ya biashara, uwekezaji na maendeleo. Ili ifikie malengo hayo kikamilifu, kunahitajika mazingira yenye utulivu, yanayojengwa juu ya utawala wa sheria, mazungumzo ya wazi, na imani ya wananchi kwa taasisi zao. Kwa kilichotokea leo kama Taifa kwa ujumla Kama taifa, kuna...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maandamano yaruhusiwe na yapewe ulinzi, yasije anzia kwenye viwanja vya maonyesho ya Sabasaba

    Hamjambo! Najua wahusika mpo humu na mnanisoma mara kwa Mara. Vitisho sio njia pekee ya kutuliza mambo. Njia nyingine ni kutoa mlango wa uani wa Faraja na matumaini. Faraja kwa maana yakuwa watu kwa mujibu wa Katiba na sheria wanayohaki ya kuandamana na kutoa maoni Yao, kutoa madai Yao, kwa...
  4. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu TCAA atembelea TRC maonesho ya 49 ya kimataifa ya biashara (Sabasaba)

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bw. Salim Ramadhani Msangi akipata maelezo kutoka kwa wataalamu wa Shirika la Reli Tanzania alipotembelea banda la Shirika la Reli Tanzania (TRC) katika maonesho ya 49 ya kimataifa ya biashara (Sabasaba) katika viwanja vya Mwl. J.K...
Back
Top Bottom