Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,574
- 4,856
Dawa kuwaua tu,kule kunduchi last month wameuliwa watatu vibakaKuna maeneo kama ya Tegeta masaiti wiki 3 nyuma Panya road wamepita kwenye nyumba kama 20 hivi na kuiba huku wakijeruhi watu na mapanga.
Maeneo ya Mbezi beach Juliana na mtaa wa Mayoa panya road siku 3 zilizopita wamevamia nyumba kadhaa kama 5 na kujeruhi wakazi huki wakiiba.
Ni wakati wa wananchi na polisi kuungana pamoja kukomesha vitendo vya wizi vinavyofanya na vikundi vya sio chini ya vijana 20 maarufu kama panya road
Panya road wana Allergy na Pistol kwahiyo huwa hawafikiHivi masaki,oysterbay,upanga na mbweni washawahi kufika panyaroad?
Panya road kawe mwisho waliuwa dada kagaraduate chuo ndio kapata ajira tuu kanunua tv na vyombo wakavamia nyumba yao ya kumkata mapanga.Ujinga tu wanaume wa Dar mmelegea kama mlenda
Mnavamiwaje na wavulana na kuibiwa kama mafala
Polisi wetu wana majukumu mengi kama kupambana na majambazi
Ni suala la wananchi tu siyo polisi,polisi wapo kisheria zaidi,ukifuata Sheria huwadhibiti hao,wanajulikana,so pitieni kila mmoja mshufhulikieniKuna maeneo kama ya Tegeta masaiti wiki 3 nyuma Panya road wamepita kwenye nyumba kama 20 hivi na kuiba huku wakijeruhi watu na mapanga.
Maeneo ya Mbezi beach Juliana na mtaa wa Mayoa panya road siku 3 zilizopita wamevamia nyumba kadhaa kama 5 na kujeruhi wakazi huki wakiiba.
Ni wakati wa wananchi na polisi kuungana pamoja kukomesha vitendo vya wizi vinavyofanya na vikundi vya sio chini ya vijana 20 maarufu kama panya road
Wanaume walikuwa wapi?Panya road kawe mwisho waliuwa dada kagaraduate chuo ndio kapata ajira tuu kanunua tv na vyombo wakavamia nyumba yao ya kumkata mapanga.
Masaki karibu kila nyumba ina ulinzi binafsi na silaha juu.Hivi masaki,oysterbay,upanga na mbweni washawahi kufika panyaroad?