Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Nimepita pale mbezi naona pilika pilika ukuta unainuliwa. Watalaam wengi walishauri kwa kuwa mbezi kuna nafasi kubwa pangejengwa exchange kubwa itakayo saidia magari yote toka kwa msuguli , na magari toka stand mpya ya mabasi kugeuzi hapo. Pia magari toka goba na kutika kinyerezi .
Sijajua kama Tanroad wanajua kwamba kwa jinsi jiji linavyo kua kwa kasi sio sahihi kufanya jambo dogo eti mtarirekebisha baadae, ni kupoteza fedha za umma.
Ndio maana kuna wadau wanashauri Tanroads inahitaji Vijana wabunifu kushika nyazifa zenye maamuzi ..
Ukiangalia Nairobi wameijenga kisasa sana kiasi kwamba barabara za kutoka na kuingia Nairobi ni nyepesi sisizo na foleni.
Kuna mdau anasema pale mbezi mwisho kunajengwa bonge la round about..
Pia tunashauri design za miradi mikubwa kama hii ziwe zinawekwa hata kwenye mitandao ila watalaam wengine waweze kutoa maoni yao.
wasiopo angalia pale mbezi watajenga kitu ambacho hata miaka 3 haitaisha watatakiwa kukifumua.
Tanroads twambieni pale mbezi mnaje ga nini hasa?
haka kapicha hapo chini hakuhusianai na mbezi ila nimependa ubunifu huu.