Mbezi Kimara fly over?

Mbezi Kimara fly over?

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Nimepita pale mbezi naona pilika pilika ukuta unainuliwa. Watalaam wengi walishauri kwa kuwa mbezi kuna nafasi kubwa pangejengwa exchange kubwa itakayo saidia magari yote toka kwa msuguli , na magari toka stand mpya ya mabasi kugeuzi hapo. Pia magari toka goba na kutika kinyerezi .

Sijajua kama Tanroad wanajua kwamba kwa jinsi jiji linavyo kua kwa kasi sio sahihi kufanya jambo dogo eti mtarirekebisha baadae, ni kupoteza fedha za umma.

Ndio maana kuna wadau wanashauri Tanroads inahitaji Vijana wabunifu kushika nyazifa zenye maamuzi ..

Ukiangalia Nairobi wameijenga kisasa sana kiasi kwamba barabara za kutoka na kuingia Nairobi ni nyepesi sisizo na foleni.

Kuna mdau anasema pale mbezi mwisho kunajengwa bonge la round about..

Pia tunashauri design za miradi mikubwa kama hii ziwe zinawekwa hata kwenye mitandao ila watalaam wengine waweze kutoa maoni yao.

wasiopo angalia pale mbezi watajenga kitu ambacho hata miaka 3 haitaisha watatakiwa kukifumua.

Tanroads twambieni pale mbezi mnaje ga nini hasa?

haka kapicha hapo chini hakuhusianai na mbezi ila nimependa ubunifu huu.
20181025_195350.jpeg
 
wamekalia kazi ya kumpaisha Yule mfuga galee kwa kazi ya kula zaka na Mr jiwr enz za pale t.rod
wakat huku main roads zikiwa majangaaa
 
Kitu kama hiki kingefaa sana
tapatalk_1540666965470.jpeg
 
Acheni wataalamu wafanye kazi yao inayowafanya walipwe mishahara.
Hizi nyingine porojo tu.
 
Majitu ya ufipa kazi yao ni kupinga tu... kama hiyo flyover hamuitaki msiitumie ikishakamilika
 
Sasa wakimaliza kila kitu kesho wale wapi?
Africa ni magumashi tu kwa wataalam wetu
Mkoloni alijenga masoko na wauzaji walikuwa 10 tu lakini soko linaweza kubeba watu 500 na mpaka leo masoko mengine ndio yamejaa baada ya miaka 50
( baadhi ya wilaya)
 
Na ndio maana wanalazimisha tusifie ndege kununuliwa kwa cash, huku bei yake ikiwa ni mara 1.5 ya bei asilia! Jenga miundo mbinu kwa hela za mikopo ili cash irudi kwa wananchi! Ila watatusikia?!
 
Na ndio maana wanalazimisha tusifie ndege kununuliwa kwa cash, huku bei yake ikiwa ni mara 1.5 ya bei asilia! Jengo miundo mbinu kwa hela za mikopo ili cash irudi kwa wananchi! Ila watatusikia?!
Ni shida
Kila mahali lazima wapige tu
 
Majitu ya ufipa kazi yao ni kupinga tu... kama hiyo flyover hamuitaki msiitumie ikishakamilika
Hivi kila mtu anayekosoa au kushauri kitu ni ufipa? Mna akili gani nyie misukule ya lumumba.. Kwamba watanzania hawawezi kushauri lolote tena katika ujenzi wa nchi hii bila kua chadema? Mambo ya kipumbavu kabisa, hivi tumefikaje hapa?
 
Vipi mwenyekiti keshakupa ile posho
 
Majitu ya ufipa kazi yao ni kupinga tu... kama hiyo flyover hamuitaki msiitumie ikishakamilika
Wasitumie ata kwenye vipeperushi vyao vya sera mbadala.. Naona wameahaanza kuitilumia mfugale wakati waliipinga
 
Sio kila anayeshauri ni mnufaika wa siasa hebu jaribh kukosoa kitaalamu kama yeye alovyoandika.
Walisema wanachi hawahitaji flyover kisa watu hawatakula flyover

Ilipokuwa inajengwa wakabeza eti haina viwango pia sio juhudi za raisi wa sasa bali ni za aliyepita

Ilipokamilika wanaanza kuponda kuwa ile sio flyover

Sasa inajengwa nyingine wameanza kubeza

Ufipa hawawezi kushauri kitu kikaeleweka kwakuwa hawana la maana nchi hii waache serikali ifanye kazi
 
Kwani mleta mada ni bavicha?
 
Back
Top Bottom