MBEZI KIMARA HAKUNA BANK;Nani kawaloga?


oh asante sana kwa hizi taarifa, sikuwa najua kabisa hasa hizo CRDB, will check it
 
Bank tutaweka wapi pale??lakini Mpesa,Tigopesa,Airtel Money na Easypesa si zinafanya kazi????
 
nafikiri uhaba wa majengo ya maana ndio chanzo si unaoana mpaka TRA walikuja kutufungia ile baa yetu ya kisa hamna majengo ya ukweli
 
Ni bank ya NMB mkuu
 
akina mangi wako bizi na biashara ya mbuzi katoliki bengi za kazi gani.
 
bank zote zipo new bagamoyo road,na mbagala teh teh!ujambazi mbezi kimara ni balaa wameshaua class mates zangu 2

Pole! Inatisha! Sikujua kama kuna ujambazi mkubwa kiasi hiki cha kuogopesha hata mabenk katika nchi tulivu ya amani ndani ya Chama Makini na kikongwe! Pole!
 
Issue kubwa ni majengo sahihi yaliyo salama kwa maana ya ukaribu na barabara.
Along Morogoro road sio sehemu rafiki kujenga kwasababu ya sheria ya road reserve. Road reserve ni kubwa sana, kwa maana hiyo, ili ujenge jengo la kibiashara, lazima liwe ndani sana, mbali na barabara......imagine mi bank gani itataka kukodisha jengo ambalo lipo uchochoroni?

It is as simple as that.
Jengo lililokuwa bar na ukumbi wa rovena bar, kimara baruti limekodishwa na TRA, ukiangaliakutokaubungo hadi kimaramwishoku a jengo moja tu lenye unafuu wa kufanya biashara kama bank au office space.

ATM mashines zipo nyingi kwa sasa...

Kuna stanbic kwenye petrol station ya puma, bahama mama.
NBC ipo Oryx petrol station kimara resort.
CRDB ipo Gapco petrol staion, kimara Suca.

Nyingine zimeelezwa na mdau hapo juu.
 
Tumepata bank jamani ya CRDB ni hapo stendi mpya kwa chini....pia kuna ATM ya NBC hapo safari resort....na pia kuna bank ya NMB ilikuea inajengwa ila imevunjwa sijajua ilikuwaje mpaka ikavunjwa...
 
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
ni kwa sababu asilimia 98 ya wanaoishi huko lazima wapite ubungo au mwenge kila siku,maana huko hakuna mashamba wala sehemu za ufugaji hivyo ni watu wa mishe mishe za dar. ambazo asilimia 98 hufanyika ubungo shuka chini.hata maofisi ya serikali hayako huko
 
mkuu mbezi mwisho kuna benki ya CRDB mkuu
 
Tatizo la Mameku wamejaa sana, hao wakipita jirani na Bank wanapata uwenda wazimu.
 
Bado najiuliza kwanini mbezi kimara haina hata bank moja?

Inakuwaje Bank sinaegemea pande nyingine lakini sio kimara

Mbezi kimara ina watu wengi lakin haina bank ya kusadia wakzi wa huku
kufanya shughuli za kibenki

Hivi hata kama hujui kusoma, hata kwa macho huwezi kuona?

Angalia namna benki zilivyopangana along Bagamoyo road kuanzia Tangibovu mpaka Tegeta; NBC, CRDB, NMB, AZANIA, ACB, MKOMBOZI, BANK na nyingine zinakuja.

Kimara-Mbezi ni eneo lililo laaniwa. Usicheze na laana mkuu.
Hama huko hakufai.
 

Nichangie kidogo,

Zaidi ya road reserve kuwa kubwa, bomba la maji toka Ruvu juu limepita kando ya barabara ile. Sasa haijulikani hasa upande upi wa barabara kwa sababu,utakuta hapa lipo kushoto, ukienda mbele kidogo lipo kulia, kwa hiyo kwa mtu Makini sana hawezi kujenga jengo la maana along Morogoro Road. Pili, Kimara hakukupimwa.
 
benki haiwezi kuwa vichochoroni mnataka iwekwe main road wakati majengo yote magufuli kayapiga X tatizo sio usalama tatizo ni usumbufu siku magufuli akiamka na pombe akaamua kuvunja majengo yote kando ya barabara,
 
Mleta mada haukufanya research kabla ya kuleta huu uzi. Mbezi mwisho kuna branch ya CRDB na ATM ya NBC. Na sehemu kibao kuna ATM za benki tofauti. Tunangoja mji mpya ujengwe pale ruguruni ili na sisi tuanze kutesa.

Tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…