Kimara Suka ilipo Gapco Gas Stop kuna CRDB ATM.
Mbezi Kwa Msuguri/Cha Zamani kuna NMB ATM.
Mbezi Luis (Mwisho) kuna NBC ATM
Mbezi Luis (Mwisho) karibu na stendi mpya next to fremu za mama Lema kuna ujenzi wa bank unaendelea ingawa sifahamu ni bank ipi haswa.
Taratibu benki zitajengwa tu...
oh asante sana kwa hizi taarifa, sikuwa najua kabisa hasa hizo CRDB, will check it