My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Ina maana sio mchepuko ni michepuko, mzigo mzito unajibebesha kwa ajiri ya mkojo tu au kuna laziada unapata huko ?Nilishajaribu nimeshindwa kuacha. Ni kama mla unga tu kwenye sekta ya michepuko.
Nimehamua kuendelea nayo tu ndio udhaifu nilioumbiwa