Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wachagga mwaka hu wakirudi krismas wajafdili hili suala la mapenzi, wazee wao wawaonye vijana wao waache kuoa wanawake walio bobea kwenye mapenzi/ngono muda wote na sasa waoane wao kwa wao ili kuondoa huku kuuana kila siku.Inasomeka huko Mbezi eneo la Msakuzi. Mtu mmoja ambaye jina lake ambalo bado halijafahamika, kabila ni Mchaga amekutwa kajinyonga akiwa nyumbani kwake eneo la Mbezi Msakuzi!
Moja ya mashuhuda akiwemo mke wake anayejulikana kwa jina Awaich Nyela amethibitisha.
Taarifa za awali inasadikika kuwa ni wivu wa kimapenzi, Taarifa kamili iko polisi.
Mbezi na kimara naomba isomeke rasmi kuwa ni kanda maalum ya mapenzi ya kibabe.
Updates!
Mtu huyo aliyetambulika kwa jina la ASENGA miaka 37yrs na mkewe Awaich miaka 48 , Inadaiwa kabla ya kujinyonga hawakuwa na maelewano mazuri na mkewe!
Inasomeka marehemu alikuwa akimlalamikia mkewe Mara kwa Mara kujichukulia mikopo kutoka vyanzo mbalimbali na kumpa tabu mmewe kulipa madeni hayo ambayo kuna wakati yalifika hadi 15mil, (na hayakueleweka pesa hivyo mkewe alifanyia nn, zaidi ya mkewe kuchoma mbuzi na bia) ili kuepuka fedheha ya kuchukuliwa vyombo vya ndani na wadeni hao! Mmewe Fundi ASENGA Alipambana kurejesha madeni hayo!
Pamoja na hilo, Marehem ASENGA na mkewe waliwahi kutofautiana na kupatana na mkewe Mara kadhaa katika ndoa yao!
Moja ya migogoro ni pale ASENGA alipotaka kumtimua mkewe, hivyo mkewe alimpeleka polisi na kumweka ndani kwa kosa la kumshambulia mkewe (Awaich).
Katika migogoro hiyo, alipoondoka mkewe kwa mda, ASENGA Alijitwalia mafao (house girl) na kutaka kumuoa, hivyo mkewe ASENGA aliposikia house girl anataka kuolewa, ariludi na kumtimua wakati akiwa na mimba ya ASENGA!
Migogoro hiyo ilisuruhishwa wakaendelea na maisha na mkewe Awaich, lakini ASENGA na mkewe kutokana na tofauti ya umri, ni dhahiri kuwa ASENGA alimuoa mkewe akiwa kashazalishwa, moja ya malalamiko ya ASENGA kabla ya kujinyonga ni kwamba, Alirejea siku chache kutoka mkoa alikokuwa kambi katika shughuli zake za ujenzi, alipofika nyumbani alikuta watoto wengine wawili wa mkewe (Awaich) ambao hakuwahi kuambiwa kuwa aliwazaa kabla na yule mwanaume wa awali, hivyo ASENGA alihoji kuwa kwanini mkewe alimdanganya kuwa ana mtoto mmoja mdogo kumbe kuna wengine wakubwa namna ile tena mmoja kashazalishwa hivyo mkewe ana mjukuu!
ASENGA Aliweka ujumbe mezani kabla ya kuamua kujinyonga chumbani kwake!
Katika ndoa ya ASENGA na mkewe
kaondoka na utamu wake.Asenga bhana! 😁😁😁 Yaani amekufa huku akituachia burudani ya kutosha tu huku duniani.
Halafu kajakuwajua wengine kwa saprize alivyorud safar akawakuta wengine wawili wakubwa huku mmoja akiwa na mjukuu, ndipo ASENGA akaona bora asepe na kijijiMarehem kaoa mke anayeozidi umri tena saaa ana wajukuu...ina maana mke wangu alianza kugawa utamu mapema sana
Mwanaume mwenye akili akiwa na mke kama wewe atajinyonga tu
wachagga sikuhizi wameharibika sana kimapenziHalafu kajakuwajua wengine kwa saprize alivyorud safar akawakuta wengine wawili wakubwa huku mmoja akiwa na mjukuu, ndipo ASENGA akaona bora asepe na kijiji
Wanatufedhehesha sana WachagaInasomeka huko Mbezi eneo la Msakuzi. Mtu mmoja ambaye jina lake ambalo bado halijafahamika, kabila ni Mchaga amekutwa kajinyonga akiwa nyumbani kwake eneo la Mbezi Msakuzi!
Moja ya mashuhuda akiwemo mke wake anayejulikana kwa jina Awaich Nyela amethibitisha.
Taarifa za awali inasadikika kuwa ni wivu wa kimapenzi, Taarifa kamili iko polisi.
Mbezi na kimara naomba isomeke rasmi kuwa ni kanda maalum ya mapenzi ya kibabe.
Updates!
Mtu huyo aliyetambulika kwa jina la ASENGA miaka 37yrs na mkewe Awaich miaka 48 , Inadaiwa kabla ya kujinyonga hawakuwa na maelewano mazuri na mkewe!
Inasomeka marehemu alikuwa akimlalamikia mkewe Mara kwa Mara kujichukulia mikopo kutoka vyanzo mbalimbali na kumpa tabu mmewe kulipa madeni hayo ambayo kuna wakati yalifika hadi 15mil, (na hayakueleweka pesa hivyo mkewe alifanyia nn, zaidi ya mkewe kuchoma mbuzi na bia) ili kuepuka fedheha ya kuchukuliwa vyombo vya ndani na wadeni hao! Mmewe Fundi ASENGA Alipambana kurejesha madeni hayo!
Pamoja na hilo, Marehem ASENGA na mkewe waliwahi kutofautiana na kupatana na mkewe Mara kadhaa katika ndoa yao!
Moja ya migogoro ni pale ASENGA alipotaka kumtimua mkewe, hivyo mkewe alimpeleka polisi na kumweka ndani kwa kosa la kumshambulia mkewe (Awaich).
Katika migogoro hiyo, alipoondoka mkewe kwa mda, ASENGA Alijitwalia mafao (house girl) na kutaka kumuoa, hivyo mkewe ASENGA aliposikia house girl anataka kuolewa, ariludi na kumtimua wakati akiwa na mimba ya ASENGA!
Migogoro hiyo ilisuruhishwa wakaendelea na maisha na mkewe Awaich, lakini ASENGA na mkewe kutokana na tofauti ya umri, ni dhahiri kuwa ASENGA alimuoa mkewe akiwa kashazalishwa, moja ya malalamiko ya ASENGA kabla ya kujinyonga ni kwamba, Alirejea siku chache kutoka mkoa alikokuwa kambi katika shughuli zake za ujenzi, alipofika nyumbani alikuta watoto wengine wawili wa mkewe (Awaich) ambao hakuwahi kuambiwa kuwa aliwazaa kabla na yule mwanaume wa awali, hivyo ASENGA alihoji kuwa kwanini mkewe alimdanganya kuwa ana mtoto mmoja mdogo kumbe kuna wengine wakubwa namna ile tena mmoja kashazalishwa hivyo mkewe ana mjukuu!
ASENGA Aliweka ujumbe mezani kabla ya kuamua kujinyonga chumbani kwake!
Katika ndoa ya ASENGA na mkewe
Hahah unaogopa kuitwa babuKusikia bebi ana wajukuu si issue ndogo, weka mbali na watoto
Chief umeshawahi hata kuandikishwa maelezo kituo cha polisi?Hii tabia ya kuandika tukio fulan afu mwisho unaweka kabila ki ukweli haipendezi.
Mtu ni mtanzania tena pengine unakuta kishaandikwa jina lake, lkn baadae linachomekwa kabila lake sijui kwa manufaa ya nani.
Ila pia linaangaliwa kabila la muhusika ndo linaandikwa, ikionekana ni kabila lingine kinyume na lile linalotakiwa kuandikwa basi haliandikwi.
Kupambana na kabila moja au mawili nchi nzima haitowasaidia chochote, kama hauna hauna tu.
Nilishajaribu nimeshindwa kuacha. Ni kama mla unga tu kwenye sekta ya michepuko.
Nimehamua kuendelea nayo tu ndio udhaifu nilioumbiwa
Hata polisi wanafanya sanaHii tabia ya kuandika tukio fulan afu mwisho unaweka kabila ki ukweli haipendezi.
Mtu ni mtanzania tena pengine unakuta kishaandikwa jina lake, lkn baadae linachomekwa kabila lake sijui kwa manufaa ya nani.
Ila pia linaangaliwa kabila la muhusika ndo linaandikwa, ikionekana ni kabila lingine kinyume na lile linalotakiwa kuandikwa basi haliandikwi.
Kupambana na kabila moja au mawili nchi nzima haitowasaidia chochote, kama hauna hauna tu.
mzee hicho kitambi umekiona lakini?Halafu mke ana bonge la kitambi kwa msisitizo
so huyo maza ni bibiHakfu mke ana wajukuu...it means kama ana miaka zaidi ya 40 na ana mjukuu basi waliwahi kugawa mapema sana utamu
Polisi wenyewe wanaweka Kabila huyu anafuatia tuHii tabia ya kuandika tukio fulan afu mwisho unaweka kabila ki ukweli haipendezi.
Mtu ni mtanzania tena pengine unakuta kishaandikwa jina lake, lkn baadae linachomekwa kabila lake sijui kwa manufaa ya nani.
Ila pia linaangaliwa kabila la muhusika ndo linaandikwa, ikionekana ni kabila lingine kinyume na lile linalotakiwa kuandikwa basi haliandikwi.
Kupambana na kabila moja au mawili nchi nzima haitowasaidia chochote, kama hauna hauna tu.
Kuna sehemu hata ikitokea dharura gani gazeti hakiwezi kuweka front page mfano LindiHuko chamazi juzi tu siku ya Eid mme kamuuwa mkewe kwa kumchoma na kisu ni watu wa Tanga lakini habari haijawaha viral! Leo mtu kajinyonga kisa kabila ni mchaga basi na uzi unafunguliwa na kabila linatajwa! Tuache hizi habari tafadhali