My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Ina maana sio mchepuko ni michepuko, mzigo mzito unajibebesha kwa ajiri ya mkojo tu au kuna laziada unapata huko ?Nilishajaribu nimeshindwa kuacha. Ni kama mla unga tu kwenye sekta ya michepuko.
Nimehamua kuendelea nayo tu ndio udhaifu nilioumbiwa
Halafu mkewe hajui jina la Marehemu mumewe!Mke wake ni shahidi alafu chanzo ni wivu wa mapenzi ?!
Mke wake ni shahidi alafu chanzo ni wivu wa mapenzi ?!
Nilishajaribu nimeshindwa kuacha. Ni kama mla unga tu kwenye sekta ya michepuko.
Nimehamua kuendelea nayo tu ndio udhaifu nilioumbiwa
KILA SIKU NAWAAMBIENI,KWENYE MAHUSIANO MKIONA HAMUELEWANIHii roho ya watu kujiua kwa kisingizio cha mapenzi ni roho chafu inahitaji kukemewa
Pole sana kwa wafiwa wote
KILA SIKU NAWAAMBIENI,KWENYE MAHUSIANO MKIONA HAMUELEWANI
KILA MTU ACHUKUE 50 ZAKE ehhhh
Ova
Acha kuongea upuuzi ...Kosa walilofanya wachaga kushangilia kifo cha Magufuli litawagharimu hadi kizazi cha tatu.
Tatizo mwanadam kuushinda moyoKabisa kabisaa
Uyoo atakuwa shabiki wa Yangaaa
Hata tusipofikA kwani Bei ganiHaya tutafika tu.
MmmhhHata tusipofikA kwani Bei gani
Nomawachaga aisee