Kwa hali ya sasa ilivyo,,jina halina maana yeyote kulifahamu,Just imagine mke wake kathibitisha tukio na kabila, lkn jina lake halijafahamika. ikimaanisha hata mkewe wa ndoa halifahamu jina la mumewe!
Mbezi na kimara naomba isomeke rasmi kuwa ni kanda maalum ya mapenzi ya kibabe[emoji3064][emoji3064][emoji3064] Hata wale wazee waliokufa gesti wakiwa na vibinti ni huko huko kanda maalumInasomeka huko Mbezi eneo la Msakuzi. Mtu mmoja ambaye jina lake ambalo bado halijafahamika, kabila ni Mchaga amekutwa kajinyonga akiwa nyumbani kwake eneo la Mbezi Msakuzi!
Moja ya mashuhuda akiwemo mke wake anayejulikana kwa jina Awaich Nyela amethibitisha.
Taarifa za awali inasadikika kuwa ni wivu wa kimapenzi, Taarifa kamili iko polisi.
Mbezi na Kimara naomba isomeke rasmi kuwa ni kanda maalum ya mapenzi ya kibabe.
Inaitwa MAGAZIJUTOMke wake ni shahidi alafu chanzo ni wivu wa mapenzi ?!
Nilishajaribu nimeshindwa kuacha. Ni kama mla unga tu kwenye sekta ya michepuko.
Nimehamua kuendelea nayo tu ndio udhaifu nilioumbiwa
Tatizo mwanadam kuushinda moyo
Kumuacha mwenzake hapo ndy kazi
Utamnganganiaje mtu ambaye hana hisia,mapenzi kwako
Ova
NdiyoMke wake ni shahidi alafu chanzo ni wivu wa mapenzi ?!
Nimeweka UPDATES YA Taarifa somaMbezi na kimara naomba isomeke rasmi kuwa ni kanda maalum ya mapenzi ya kibabe[emoji3064][emoji3064][emoji3064] Hata wale wazee waliokufa gesti wakiwa na vibinti ni huko huko kanda maalum
Hauna Nini?Hii tabia ya kuandika tukio fulan afu mwisho unaweka kabila ki ukweli haipendezi. Mtu ni mtanzania tena pengine unakuta kishaandikwa jina lake, lkn baadae linachomekwa kabila lake sijui kwa manufaa ya nani. Ila pia linaangaliwa kabila la muhusika ndo linaandikwa, ikionekana ni kabila lingine kinyume na lile linalotakiwa kuandikwa basi haliandikwi. Kupambana na kabila moja au mawili nchi nzima haitowasaidia chochote, kama hauna hauna tu. Pumbavu...
Inasomeka huko Mbezi eneo la Msakuzi. Mtu mmoja ambaye jina lake ambalo bado halijafahamika, kabila ni Mchaga amekutwa kajinyonga akiwa nyumbani kwake eneo la Mbezi Msakuzi!
Moja ya mashuhuda akiwemo mke wake anayejulikana kwa jina Awaich Nyela amethibitisha.
Taarifa za awali inasadikika kuwa ni wivu wa kimapenzi, Taarifa kamili iko polisi.
Mbezi na kimara naomba isomeke rasmi kuwa ni kanda maalum ya mapenzi ya kibabe.
Updates!
Mtu huyo aliyetambulika kwa jina la ASENGA miaka 37yrs na mkewe Awaich miaka 48 , Inadaiwa kabla ya kujinyonga hawakuwa na maelewano mazuri na mkewe!
Inasomeka marehemu alikuwa akimlalamikia mkewe Mara kwa Mara kujichukulia mikopo kutoka vyanzo mbalimbali na kumpa tabu mmewe kulipa madeni hayo ambayo kuna wakati yalifika hadi 15mil, (na hayakueleweka pesa hivyo mkewe alifanyia nn, zaidi ya mkewe kuchoma mbuzi na bia) ili kuepuka fedheha ya kuchukuliwa vyombo vya ndani na wadeni hao! Mmewe Fundi ASENGA Alipambana kurejesha madeni hayo!
Pamoja na hilo, Marehem ASENGA na mkewe waliwahi kutofautiana na kupatana na mkewe Mara kadhaa katika ndoa yao!
Moja ya migogoro ni pale ASENGA alipotaka kumtimua mkewe, hivyo mkewe alipeleka polisi na kuwekwa ndani kwa kosa la kumshambulia mkewe (Awaich).
Migogoro hiyo ilisuruhishwa wakaendelea na maisha, lakini ASENGA na mkewe kutokana na tofauti ya umri, ni dhahiri kuwa ASENGA alimuoa mkewe akiwa kashazalishwa, moja ya malalamiko ya ASENGA kabla ya kujinyonga ni kwamba, Alirejea siku chache kutoka mkoa alikokuwa kambi katika shughuli zake za ujenzi, alipofika nyumbani alikuta watoto wengine wawili wa mkewe (Awaich) ambao hakuwahi kuambiwa kuwa aliwazaa kabla na yule mwanaume wa awali, hivyo ASENGA alihoji kuwa kwanini mkewe alimdanganya kuwa ana mtoto mmoja mdogo kumbe kuna wengine wakubwa namna ile tena mmoja kashazalishwa hivyo mkewe ana mjukuu!
ASENGA Aliweka ujumbe mezani kabla ya kuamua kujinyonga chumbani kwake!
Katika ndoa ya ASENGA na mkewe
Hii roho ya watu kujiua kwa kisingizio cha mapenzi ni roho chafu inahitaji kukemewa
Pole sana kwa wafiwa wote
...Wala usikwazike Mkuu. Kulitaja taja Kabila ni namna yao Kukiri kwamba Wanalikubali!!![emoji16]Hii tabia ya kuandika tukio fulan afu mwisho unaweka kabila ki ukweli haipendezi.
Mtu ni mtanzania tena pengine unakuta kishaandikwa jina lake, lkn baadae linachomekwa kabila lake sijui kwa manufaa ya nani.
Ila pia linaangaliwa kabila la muhusika ndo linaandikwa, ikionekana ni kabila lingine kinyume na lile linalotakiwa kuandikwa basi haliandikwi.
Kupambana na kabila moja au mawili nchi nzima haitowasaidia chochote, kama hauna hauna tu.
jamaa kaoa mke aliyemzidi miaka 10Inasomeka huko Mbezi eneo la Msakuzi. Mtu mmoja ambaye jina lake ambalo bado halijafahamika, kabila ni Mchaga amekutwa kajinyonga akiwa nyumbani kwake eneo la Mbezi Msakuzi!
Moja ya mashuhuda akiwemo mke wake anayejulikana kwa jina Awaich Nyela amethibitisha.
Taarifa za awali inasadikika kuwa ni wivu wa kimapenzi, Taarifa kamili iko polisi.
Mbezi na kimara naomba isomeke rasmi kuwa ni kanda maalum ya mapenzi ya kibabe.
Updates!
Mtu huyo aliyetambulika kwa jina la ASENGA miaka 37yrs na mkewe Awaich miaka 48 , Inadaiwa kabla ya kujinyonga hawakuwa na maelewano mazuri na mkewe!
Inasomeka marehemu alikuwa akimlalamikia mkewe Mara kwa Mara kujichukulia mikopo kutoka vyanzo mbalimbali na kumpa tabu mmewe kulipa madeni hayo ambayo kuna wakati yalifika hadi 15mil, (na hayakueleweka pesa hivyo mkewe alifanyia nn, zaidi ya mkewe kuchoma mbuzi na bia) ili kuepuka fedheha ya kuchukuliwa vyombo vya ndani na wadeni hao! Mmewe Fundi ASENGA Alipambana kurejesha madeni hayo!
Pamoja na hilo, Marehem ASENGA na mkewe waliwahi kutofautiana na kupatana na mkewe Mara kadhaa katika ndoa yao!
Moja ya migogoro ni pale ASENGA alipotaka kumtimua mkewe, hivyo mkewe alimpeleka polisi na kumweka ndani kwa kosa la kumshambulia mkewe (Awaich).
Katika migogoro hiyo, alipoondoka mkewe kwa mda, ASENGA Alijitwalia mafao (house girl) na kutaka kumuoa, hivyo mkewe ASENGA aliposikia house girl anataka kuolewa, ariludi na kumtimua wakati akiwa na mimba ya ASENGA!
Migogoro hiyo ilisuruhishwa wakaendelea na maisha na mkewe Awaich, lakini ASENGA na mkewe kutokana na tofauti ya umri, ni dhahiri kuwa ASENGA alimuoa mkewe akiwa kashazalishwa, moja ya malalamiko ya ASENGA kabla ya kujinyonga ni kwamba, Alirejea siku chache kutoka mkoa alikokuwa kambi katika shughuli zake za ujenzi, alipofika nyumbani alikuta watoto wengine wawili wa mkewe (Awaich) ambao hakuwahi kuambiwa kuwa aliwazaa kabla na yule mwanaume wa awali, hivyo ASENGA alihoji kuwa kwanini mkewe alimdanganya kuwa ana mtoto mmoja mdogo kumbe kuna wengine wakubwa namna ile tena mmoja kashazalishwa hivyo mkewe ana mjukuu!
ASENGA Aliweka ujumbe mezani kabla ya kuamua kujinyonga chumbani kwake!
Katika ndoa ya ASENGA na mkewe
Unaishi kwa bahati mbaya sana wewe nyau!Uyoo atakuwa shabiki wa Yangaaa
Hakika...Wala usikwazike Mkuu. Kulitaja taja Kabila ni namna yao Kukiri kwamba Wanalikubali!!![emoji16]
Halafu mke ana bonge la kitambi kwa msisitizojamaa kaoa mke aliyemzidi miaka 10
Hakfu mke ana wajukuu...it means kama ana miaka zaidi ya 40 na ana mjukuu basi waliwahi kugawa mapema sana utamujamaa kaoa mke aliyemzidi miaka 10