TANZIA Mbezi Msakuzi: Mwanaume afariki dunia kwa kujinyonga

Marehem kaoa mke anayeozidi umri tena saaa ana wajukuu...ina maana mke wangu alianza kugawa utamu mapema sana
 
wachagga mwaka hu wakirudi krismas wajafdili hili suala la mapenzi, wazee wao wawaonye vijana wao waache kuoa wanawake walio bobea kwenye mapenzi/ngono muda wote na sasa waoane wao kwa wao ili kuondoa huku kuuana kila siku.
 
Marehem kaoa mke anayeozidi umri tena saaa ana wajukuu...ina maana mke wangu alianza kugawa utamu mapema sana
Halafu kajakuwajua wengine kwa saprize alivyorud safar akawakuta wengine wawili wakubwa huku mmoja akiwa na mjukuu, ndipo ASENGA akaona bora asepe na kijiji
 
Mwanaume mwenye akili akiwa na mke kama wewe atajinyonga tu

Kwa taarifa tuu kwa hicho unachodhani unakifahamu kwangu ni matokeo ya mume wangu bora niliye nae.
Nina mwanaume mwenye utashi wa hali ya juu na heshma kubwa sana kwenye jamii sio kama mvulana wewe

PigaKeleleKwaBabaD ake💪
 
Halafu kajakuwajua wengine kwa saprize alivyorud safar akawakuta wengine wawili wakubwa huku mmoja akiwa na mjukuu, ndipo ASENGA akaona bora asepe na kijiji
wachagga sikuhizi wameharibika sana kimapenzi
 
Wanatufedhehesha sana Wachaga
 
Wachaga mna nini lakini?? Ni vizuri mkaona ninyi kwa ninyi tu labda mnawezana.
 
Chief umeshawahi hata kuandikishwa maelezo kituo cha polisi?
 
Nilishajaribu nimeshindwa kuacha. Ni kama mla unga tu kwenye sekta ya michepuko.

Nimehamua kuendelea nayo tu ndio udhaifu nilioumbiwa

Hapana mkuu, usikimbilie kila kitu kama ni udhaifu ulioumbiwa, jiulize kabla hujawajua wanawake huo udhaifu ulikuwa nao? Udhaifu ambao mtu kaumbiwa nao ni ulemavu pekee, kiasi kwamba kama ni mlemavu wa mguu basi atakuwa na huo ulemavu ikiwezekana hadi kufa kwake. Haya mengine ni madhaifu tunayoyatengeneza sisi wenyewe!
 
Hata polisi wanafanya sana
Dini...
Kabila...
Utanzania wetu unaharibiwa
 
Polisi wenyewe wanaweka Kabila huyu anafuatia tu
 
Huko chamazi juzi tu siku ya Eid mme kamuuwa mkewe kwa kumchoma na kisu ni watu wa Tanga lakini habari haijawaha viral! Leo mtu kajinyonga kisa kabila ni mchaga basi na uzi unafunguliwa na kabila linatajwa! Tuache hizi habari tafadhali
Kuna sehemu hata ikitokea dharura gani gazeti hakiwezi kuweka front page mfano Lindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…