TANZIA Mbezi Msakuzi: Mwanaume afariki dunia kwa kujinyonga

Wachaga endeleeni ku-trend mwezi wenu huu[emoji21][emoji21][emoji21]
Halafu huyu mangi alioaje mwanamke anamzidi miaka 11??
 
Jamaa kaacha ugali kambale!!
 
Wachagga vipii, yule mchungaji wa kawe kawaingiza mjini amewaacha mnakanyagana kwenye mafuta ya upako mshkaji akasepazake akawaacha mnauguza vilio, haukutosha mnachomana moto, huyu nae amejinhonga.
 
Nikisikia kuwa Mwanaume Kajiua labda kwa Ugumu wa Maisha ( japo hata Mimi GENTAMYCINE ninao ila sijaamua Kujiua bado nakomaa nikiamini One Day Yes ) kidogo naweza Kuelewa ( Kumuelewa )

Ila nikisikia kabisa kuwa Mwanaume mwenye Mkuyenge ( Mboo ) na Pumbu ( Kengele za Uvunguni ) Kajiua kwa Wivu wa Kimapenzi huwa natamani kujua Maiti yake ipo wapi ili nikaipige sana Makofi na hata Kuikojolea pia ikibidi.

Kila Siku GENTAMYCINE nimekuwa nikiimba hapa kwa Kuwaambia Wanaume wenzangu kuwa Dawa pekee ya kutokuwa na Wivu na Mkeo au hata wa Kimapenzi ni kuwa na Mademu ( Mahawara ) zaidi ya Watano mpaka Saba na Wote wawe wanatofautiana kwa Uzuri na Utamu wa Mbunye ( Maku ) zao.

99.999% ya Mianamume inayojiua 24/7 ( kila Siku ) ni ile ambayo Kwanza haijui Kutongoza Kisha huwa inapelekeshwa mno na Wake zao halafu hata Vichwani mwao huwa ni Mipopoma ( Mipumbavu ) tupu halafu hata Vijiweni huwa hawakai na wanawahi sana kurejea Makwao wakitoka Kazini huku pia wakiwa hawashabikii Simba wala Yanga au Liverpool wala Manchester United.

Mwanaume utakuwaje na Mke Mmoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…