nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,124
- 1,839
wamerudi kwa kasi kubwa na kujazana kuliko hata awaliSi mliwafukuza wamachinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamerudi kwa kasi kubwa na kujazana kuliko hata awaliSi mliwafukuza wamachinga?
Matatizo yapo sehemu tatu;by pass zilizojengwa mbezi mwisho na kwa yusufu zipo vizuri katika kupunguza foleni, ila foleni imehamia stendi ndogo ya daladala, unaweza ukatumia hadi saa 2 kutoka mle ndani, ingekuwa vyema kama serikali ingehamisha stendi ya daladala na kuijenga karibu na stendi ya mkoa au kujenga flyover kutoka stendi ndogo hadi njia panda ya goba
Lete picha ya drone ya Mbezi mwisho sasa hivi,ili tuweze kulinganisha na hiyo ya wakenya......Kila siku najiuliza kwanini hawa Tanroad wanafanya vitu kwa kubashiri sana.. Huwa nikipita pale mbezi mwisho naumia sana wanavyo lichezea lile eneo.
Kama ni Mhandisi usipite pale unaweza zimia kwa vituko tanroad wanatufanyia.
Design za barabara (highway) nyingi zinaeleweka, kwanini kujifanya mna ubunifu wakati mnachezea pesa za kodi na kuharibu maeneo ambayo yangeweza rahisisha maisha ya watanzania.
Consultant wa barabara ya Kimara vs Kibaha sijui mlimtoa wapi?
Mbona Kenya wanafanya vitu vizuri kabisa.. Kwani ni dhambi kukopi?View attachment 2102241View attachment 2102251
Kilichofanyika Mbezi ni sawa na hicho hapo tofauti ni mwonekano ila kazi ni ileileKila siku najiuliza kwanini hawa Tanroad wanafanya vitu kwa kubashiri sana.. Huwa nikipita pale mbezi mwisho naumia sana wanavyo lichezea lile eneo.
Kama ni Mhandisi usipite pale unaweza zimia kwa vituko tanroad wanatufanyia.
Design za barabara (highway) nyingi zinaeleweka, kwanini kujifanya mna ubunifu wakati mnachezea pesa za kodi na kuharibu maeneo ambayo yangeweza rahisisha maisha ya watanzania.
Consultant wa barabara ya Kimara vs Kibaha sijui mlimtoa wapi?
Mbona Kenya wanafanya vitu vizuri kabisa.. Kwani ni dhambi kukopi?View attachment 2102241View attachment 2102251
Ufumbuzi ungekuwaMatatizo yapo sehemu tatu;
1. Daladala zinasimama kupakia na kushusha popote, zinaongeza msongamano njiani.
2. Biashara pembezoni mwa barabara ni chanzo kikubwa cha foleni njia ya chini.
3. Stand ndogo ya daladala za kinyerezi inaongeza sana foleni, jinsi ya kuingia na kutoka ni mtihani kwa daladala kubwa.
Kwa nini ile stand ya daladala kama wamewashindwa machinga, ( kitu ambacho hata mimi naona wana haki ya kukaa hapo) basi ni bora kituo cha daladala kivunjwe ijengwe stand hapo hapo lakini ghorofani , soko liwe chini mtu akishuka hapo anapitia sokoni mojakwa moja.Ufumbuzi ungekuwa
- Sheria kali ziwekwe dhidi ya madereva wa daladala japo wenye daladala ni haohao wenye kuweka sheria
- Ijengwe machinga complex ili biashara zote zihamie huko
- Stand za waendao Kinyerezi na Goba ziboreshwe ziwe za kisasa
Hawa jamaa sijui kwa nini wasipite huku kuchukua mawazo mazuri ya watu. Stand ya Kinyerezi ijengwe upya, kuwe na ghorofa chini soko na juu iwe stand. Mawazo mazuri haya.Kwa nini ile stand ya daladala kama wamewashindwa machinga, ( kitu ambacho hata mimi naona wana haki ya kukaa hapo) basi ni bora kituo cha daladala kivunjwe ijengwe stand hapo hapo lakini ghorofani , soko liwe chini mtu akishuka hapo anapitia sokoni mojakwa moja.
Au kituo kiwe chini soko liwepo juu,
Kwa nini nasema hivyo, soko la sasa limejengwa upande wa Magufuli , sijui hata waliwaza nini , mtu ashuke kwenye daladala halafu avuke libarabara aende kule magufuli kweli inawezekana?,
Halafu wakae wakijua mbezi sasa hivi ni mji mdogo unaokua sana , panahitajika soko kubwa na sehemu nzuri ni hapo hapo standi ya daradara,
Stand inaweza kuwa juu, likafata soko chini , kama kariakoo shimoni lakini sio shimoni hasa halafu baadaye chini kabisa ikawa maduka ya nguo na mambo mengine kama kariakoo, watu wa mbezi na vitongoji vyake wakawa hawana haja ya kwenda kariakoo
Tatizo la Wabongo hawapendi kufuata utaratibu. Wawekee zebra watasema iko mbali watavuka popote kama mbuzi,wawekee daraja la juu watakwambia mzunguko mrefu watavuka popote kama mbuzi. Wawekee soko watakwambia kwanini liko upande huu wa barabara hatuwezi kuvuka. Yaani kila utakachofanya watakuja ambao watasema hiki kimekosea ilibidi kiwe hivi. Ngumu sana kuridhisha kila mtu.Hawa jamaa sijui kwa nini wasipite huku kuchukua mawazo mazuri ya watu. Stand ya Kinyerezi ijengwe upya, kuwe na ghorofa chini soko na juu iwe stand. Mawazo mazuri haya.
Machinga complex ingine tena? Ile ya mwanzo si unajua kilichotokea?Ufumbuzi ungekuwa
- Sheria kali ziwekwe dhidi ya madereva wa daladala japo wenye daladala ni haohao wenye kuweka sheria
- Ijengwe machinga complex ili biashara zote zihamie huko
- Stand za waendao Kinyerezi na Goba ziboreshwe ziwe za kisasa
Watazame dosari za kule wazifanyie marekebisho kwenye new designMachinga complex ingine tena? Ile ya mwanzo si unajua kilichotokea?
...good pointsoko liwe chini mtu akishuka hapo anapitia sokoni mojakwa moja.
SOKO LA KISASA, NA LISIWE MBALI NA STENDI...good point