Mbezi mwisho ingejengwa hivi, Tanroad wangepungukiwa na nini?

Mbezi mwisho ingejengwa hivi, Tanroad wangepungukiwa na nini?

Sijui wanatumia engineering ya wapi? , design hazieleweki.. wanatengeneza mazingira magumu sana ya kuzitumia barabara..
Here we have 'paper engineers'
Angalia Tazara foleni iko pale pale.
Angalia Jangwani makao makuu ya UDART ndani ya miaka miwili pamefunikwa na mchanga yaani pamezikwa.
Mbezi Ni kituko. Kuna siku foleni Mbezi inafika saa Saba usiku.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] estim ni contractor wa majengo siyo barabara.. anajua kumwaga zege tuu..
Barabara ya Maramba mawili Ni kichekesho, paper engineers kafuatilia mule mule tulipikua tunapitishia ng'ombe . Kuna Kona za 90 degree ambayo semi trailer haiwezi kukunja.
 
Hio miradi ya Kenya imejengwa na Mchina na inadaiwa ela nyingi Sana
 
by pass zilizojengwa mbezi mwisho na kwa yusufu zipo vizuri katika kupunguza foleni, ila foleni imehamia stendi ndogo ya daladala, unaweza ukatumia hadi saa 2 kutoka mle ndani, ingekuwa vyema kama serikali ingehamisha stendi ya daladala na kuijenga karibu na stendi ya mkoa au kujenga flyover kutoka stendi ndogo hadi njia panda ya goba
 
Tatizo stendi imegeuzwa kuwa soko.

Back
Top Bottom