Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
- Thread starter
- #101
Sijui wanatumia engineering ya wapi? , design hazieleweki.. wanatengeneza mazingira magumu sana ya kuzitumia barabara..
Here we have 'paper engineers'
Angalia Tazara foleni iko pale pale.
Angalia Jangwani makao makuu ya UDART ndani ya miaka miwili pamefunikwa na mchanga yaani pamezikwa.
Mbezi Ni kituko. Kuna siku foleni Mbezi inafika saa Saba usiku.