Kuanza kwa shughuli za kisiasa kumekuja na yake.
Tayari mwelekeo uko wazi. Mikutano ya CCM, Chadema na CUF imesikika na mwenye macho kaona.
Hayapo mashaka tena kuwa Chadema haina cha kufanya na ushoga wala kwamba upo mtafaruku wowote wa kimadaraka chamani.
"Chadema inataka katiba mpya, sasa."
Yaliyowakuta CCM ikungi au Lipumba Magomeni hakuna asiyejua.
Tulipo ni kwenye vyama kuvutia uungwaji mkono. Kwenye vita hivi vya panzi tayari lugha zimeanza kueleweka.
Haina shaka kuwa yale mambo yetu ya "boom" ni katika jitihada za kukaba penati.
Hali kadhalika Kwa wito huu:
Ni wazi kuwa joto ya jiwe jusi kwishajuwa.
"Mlete mlete mzungu!"