Mbichi na mbivu za uhuru wa shughuli za Kisiasa

Mbichi na mbivu za uhuru wa shughuli za Kisiasa

Wangekuwa na akili wangekuwa wamemshauri Lipumba vyema. Hakupaswa kununua vita na Chadema angalau kurefusha uwepo wake.

Angewakaribisha vyama vingine kumwunga mkono waungwana wangejitokeza.
Usisahau haijaanzisha tu vita na Chadema,ipo ile vita ya kukesha Buguruni kuiua cuf,na kuigawa kwenda ACt😀
 
Aina kuu za mifumo ya kisiasa ni 1.Demokrasia, 2.Tawala za kifalme, 3.Tawala za kimabavu 4.Tawala za kiimla.
Labda kwa miaka 30 wanahubiri mfumo ambao ni tofauti na ule ambao wengi wanaupenda😂😂sawa nakumpigia🦄🎻
20% vs 80% ya kuaziswa mfumo wa vyama vingi bado iko kwenye DNA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Kama move ya boom ni ukabaji wa penalty basi wananchi watakua wamjionea ni kwa jinsi gani wanahitaji upinzani wenye nguvu sana ili mamia kwa maelfu ya penalty zikabwe na hatimaye maisha bora

Hawa hapa:

Screenshot_20230212-205451.jpg


Na bado!
 
😁😁Wataahidi hata kushusha nauli ya meli Dom to Dar!!!

Tutawasikia hadi kwenye kupigania katiba mpya na kumlaani mno yule mwingine.

Sasa hivi ni mwendo wa furaha ya kunguru. Hata wale wa LST muda ni huu.🤣🤣
 
Kuanza kwa shughuli za kisiasa kumekuja na yake.

Tayari mwelekeo uko wazi. Mikutano ya CCM, Chadema na CUF imesikika na mwenye macho kaona.

Hayapo mashaka tena kuwa Chadema haina cha kufanya na ushoga wala kwamba upo mtafaruku wowote wa kimadaraka chamani.

"Chadema inataka katiba mpya, sasa."

Yaliyowakuta CCM ikungi au Lipumba Magomeni hakuna asiyejua.

Tulipo ni kwenye vyama kuvutia uungwaji mkono. Kwenye vita hivi vya panzi tayari lugha zimeanza kueleweka.

Haina shaka kuwa yale mambo yetu ya "boom" ni katika jitihada za kukaba penati.

Hali kadhalika Kwa wito huu:

View attachment 2515084

Ni wazi kuwa joto ya jiwe jusi kwishajuwa.

"Mlete mlete mzungu!"
[emoji38][emoji38][emoji38] Nimefurahishwa na hiyo mlete mzungu
 
Hii ni weakness kubwa ya Chama changu...Hawataki ku recruit na kuwatumia watu wenye substance, hii wasipoangalia itapelekea kushindwa kuhimili mapema sana kama demokrasia itatamalaki....

Kuitetea CCM wahenga wamesema ujitoe ufahamu kwanza:

FolQpVRaEAEb4UX.jpeg
 
Hii ni weakness kubwa ya Chama changu...Hawataki ku recruit na kuwatumia watu wenye substance, hii wasipoangalia itapelekea kushindwa kuhimili mapema sana kama demokrasia itatamalaki....
Wanategemea state apparatuses
 
Back
Top Bottom