Mbilinyi (Sugu) kazi anayo kwa huyu mwanadada

Wa Beijing bhana!

Naomba ile kampeni ya kuwaweka sawa iliyovuma mwanzoni mwa mwaka huu irudi tena.
 
Usela mavi wa Sugu unadhihirika kwa huyu dada.

Kujidai kote ujanja ilikuwaje azae na mwanamke wa namna hii?

SMH.
Mapenzi ni upofu we mwanamke wako au mwanaume wako muanike uone Kama hata kosa kasoro kuanzia uumbaji mpaka kichwani!! Do you know what love is??!!
 
Ningekuwa Mimi ndio SUGU, Namchukua Mwanangu! na huyo malaya hatakaa hatakaa aonje hata senti yangu!
 
Huyu Faiza anataka kutumia fursa ya kuzaa na SUGU kuchuna fedha za bure. Kumbe mapenzi hayako hivyo!
 
Sugu anatumia image mbaya ya Faiza kuendelea kumkandamiza.


Sugu ni mbinafsi sana.

Sugu ana roho mbaya sana.

Mapesa ya jimbo badala ya kusaidia wananchi walipa kodi wa Mbeya mjini yeye kaenda kujenga hotel yake tena kiwanja kaandika jina la mama yake.
 
mtu kasema anaitwa "SUGU" unaahisi akipata hela ataitwa "GOOD"
 
Sugu anatumia image mbaya ya Faiza kuendelea kumkandamiza.


Sugu ni mbinafsi sana.

Sugu ana roho mbaya sana.

Mapesa ya jimbo badala ya kusaidia wananchi walipa kodi wa Mbeya mjini yeye kaenda kujenga hotel yake tena kiwanja kaandika jina la mama yake.
 

Roho mbaya sabb sugu ajawai kumzungumzia uyo kichaa mwenzako

Khsu kujenga tambua sugu anapewa mshahara million 12 per mwezi plus m 90 za Gari ya mbunge piga hesabu utapata jibu pia
Jifunze kutokua na chuki za kipumbavu
 
Mbaazi ukikosa maua, husema ni shauri ya jua. Haya mama, ushaitwa chiziii huku. Umepata faida gani?? Tafuta wire mwingine picha imeungua hii
 
Ningekuwa Mimi ndio SUGU, Namchukua Mwanangu! na huyo malaya hatakaa hatakaa aonje hata senti yangu!
Mbona Sugu ana hukumu ya mahakama iliyompa haki ya kuchukua mtoto aishi naye kwa kuwa Faiza hana maadili mema, Lakini weee! yaliibuka mashirika ya kutetea wanawake sijui na nini yaani ishu ilifika hadi bungeni wabunge wa kike wakachachamaa kumlaumu Sugu eti anatumia cheo kumnyanyasa mwanamke.
 
Huyo dada atafute kazi au shughuli ya kufanya!yeye kazi ni kuji-expose na kuelezea maisha binafsi yake na mtalaka wake bila kujua kuwa si jambo jema!
 
Kwani sugu ana hisa EATV ama mfa maji haaji kutapatapa mbona NIRVANA kaonekana jana ama nirvana inarushwa na kituo gani sema yeye ndo anataka sugu apotee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…