Mbilinyi (Sugu) kazi anayo kwa huyu mwanadada

Mbilinyi (Sugu) kazi anayo kwa huyu mwanadada

Mheshimiwa Joseph Mbilinyi anaendelea kuandamwa na mzazi mwenzie Faiza Ally. Kwenye Instagram Faiza kafunguka hivi:

Faiza Ally "Siwezi kunyamazia hizi habari zaidi nimeona ni share na watu wote wajue sijajua zitani cost kiasi gani lkn niko tayari kuface chochote kitakacho tokea mbele.

Leo nimeamini kabisa maneno wanayo semaga watu kuwa mwanaume ukimuacha anapenda kuona umeanguka kimaisha ni kweli.Kiufupi ni kwamba kipindi changu kilicho kua kirushwe Eatv ni baba Sasha ndio alienda kunizibia kipindi changu kistopishwe gafla - kwa Kweli ilikua haingii akilini kabisa - Eatv walinifata wenyewe kuniomba kufanya reality show - tukashuti vipindi- wakanipa show ya kutambulisha kipindi - na tulifanya kikao Mara ya mwisho siku chache kabla ya show - na mpaka wamenipa FNL kutambulisha kipindi- siku ya jumapili ya mwisho nilikua na kipindi radeioni na Ndio ilikua interview ya mwisho ya kutambulisha kipindi na jina langu nimekuta getini nimeingia mpaka ndani wkt wakipindi naambiwa hakuna kuna mabadiliko- nikashangaa sana nikampigia producer hapokei- baadae ana niambia hajui kinacho endelea - nampigia boss haelezi maelezo yakutosha kiufupi kulikua hakuna wa kuniambia chochote ! Kha! Na hapo kipindi nimeanza kurusha matangazo kwamba kinaanza jumanne dah ! Sikuelewa mwisho kabis nikaambiwa boss kasema hakuta kuwa na msimu mpya Tena ! nikiangalia kwenye tv naona msimu mpya wa vipindi ! Juzi Ndio nakuja Ku find out kwamba ni Joseph !

Ni kachoka kabisa nimelia kwa uchungu sana ! Ameniachia mtoto namlea peke yangu hatoi hata shilingi Na Bado sehemu ambayo ningepata ugali wa mwanangu kwenda kunizibia ????? Why Joseph ????? Ugali wa mwanao ?Ubaya gani mkubwa nilio kufanyia mpaka imefika huko ?????? It's sad nilijua wewe una roho mbaya lkn sikujua Kama una roho mbaya ilio pitiliza !!!!! mm nisinge fika huko hata siku moja !

Wkt wa uchaguzi nimefatwa Na watu tofauti tofauti mpaka watu kutoka Mbeya nikasaidie uchaguzi kwa kukuponda tu nilipwe!!! lkn nikisema hapana wewe ni baba wa mwanangu ! ......... Lkn wewe umenifanyia hivi? Na kwa hili kamwe sitakusamehe zaidi ya kumshatakia mwenyezi Mungu tu Ndio ataweza kukuhukumu!!! Bado Tanzania viongozi wana tumia madaraka vibaya! Bado Tanzania wanawake wananyanyaswa- Tanzania Bado sana kuhusu haki hata Kama sheria zipo.." Faiza Ally
Alishaambiwa mtoto amkabidhi Sugu sasa analia lia nini?pia maadili yake ya kukaa uchi nani atampa vipindi katika tv?siri ya ccm kununua na kupanga mbini chafu imejulikana
Ritz FaizaFoxy Nape Nnauye Lizaboni MwanaDiwani
 
Huyu anatafuta kiki tu kwenye media Mara mtoto aliye aseme anaomba ela ya kusuka Mara mtoto Ana njaa aombe ela keo kipindi sugu chukua mtoto wako tu umlehe mwenyewe ila kondomu muhimu mnapokutana na vichaa maana nyege mbaya basi tukumbuke kondomu
 
Sugu anatumia image mbaya ya Faiza kuendelea kumkandamiza.

Sugu ni mbinafsi sana.

Sugu ana roho mbaya sana.

Mapesa ya jimbo badala ya kusaidia wananchi walipa kodi wa Mbeya mjini yeye kaenda kujenga hotel yake tena kiwanja kaandika jina la mama yake.

Sema wewe mwaya,
Tukisema sie tutambiwa tuna roho mbaya.
 
Mungu ni wa utaratibu,.....
maombi ya mwenye dhambi ni kelele mbele za MUNGU,........
 
mi nimesoma tu hayo maandishi kama hadithi lakn siwez hata kdgo kuanza kuwaza et ilikuaje?kwa nin? wakat wew umeonesha wazi kua ni muongo? kama sio muongo bs hujui utaratibu wa kazi...! afu kumsemasema ovyo rais wangu ntaja nikudunde sku moja
 
Amesema atamshtaki sugu kwa Mungu kwa kuzuia kipindi chenye mambo kama hayo! 😀
Mungu atamsikia maana Sugu aliyapenda hayo na Sugu anajua fika mkewe dish limedondoka hivyo wanaendana na sijaona tofati yao...! Sugu na Faiza ni couple inayo landana
 
Hivi Sugu hawezi kweli kumsaidia mzazi mwezie kwa kumtafutia wataalamu wa saikolojia...ili wajaribu kurekebisha kufikiri kwa huyu Dada? Maana anamuumiza mtoto.
Sugu anampenda mchumba wake kama alivyo ....
 
hahahahahahah mapenzi ya mtandaoni hayo dada faiza anasema walikuwa wanapokezana kuvuta bange na sugu
Sugu na Faiza ni wapenzi wanao fahamiana vizuri na wote ni wavuta bangi na madish yao yamedondoka...
 
Na hata EATV nao wange nishangaza yaani huyu maaluni wampe nafasi kwenye kipindi? kama mitaani kazoeleka kuonekana uchi kwenye tv aonyeshe nini tena wakati watu wesha muona mpaka utumbo.
 
So ampe pesa za matumizi ,hii ni Mara nyingi analalamika hapewi matumizi ,sio kichaa faiza bana,mbunge mzima kutoa pesa ya mwanao shida khaa!!!
Kulea ujinga kama huu ni kulikuza tatizo, Faiza alidhani atatumia gia ya mtoto kula pesa za bure kutoka kwa Sugu, amebugi huyu mwanamke apelekwe milembe kwenye wodi ya vichaa haraka sana.
 
Mwanamke kichaa kma uyu simpi ata senti
Na ndio maana sugu alitaka mwanae ..this gal inaonyesha alishika mimba kisudi ili ajinufaishe kipindi kabla hajaachwa alikua anajishaua mama muheshimiwa....sasa hivi goals zake zimebuma ...lzm achanganyikiwe ...akilala akiamka nI sugu...na mbaya zaidi sugu ana demu mpya
By the way hata kina faiza wamelelewa na mama yao tuu..alishawah post insta kuwa baba yao aliwatelekeza...
Halaf ukiwacheki km usingo maza una run kwa family...
 
basi amchukue mwanae,sugu hampi pesa za matumizi
Kesi ilienda mahakaman faiza hataki kutoa mtoto anasema anaonewa..ndio ujue shida ni pesa..uliona ile video kamrekod mwanae eti analilia hana hela ya kusuka..kamdhalilisha mtt sana...
 
Eti mama diamond...hii ni bht ya wachache eeh
 
Attachments

  • 1458797498720.jpg
    1458797498720.jpg
    31.4 KB · Views: 28
Mheshimiwa Joseph Mbilinyi anaendelea kuandamwa na mzazi mwenzie Faiza Ally. Kwenye Instagram Faiza kafunguka hivi:

Faiza Ally "Siwezi kunyamazia hizi habari zaidi nimeona ni share na watu wote wajue sijajua zitani cost kiasi gani lkn niko tayari kuface chochote kitakacho tokea mbele.

Leo nimeamini kabisa maneno wanayo semaga watu kuwa mwanaume ukimuacha anapenda kuona umeanguka kimaisha ni kweli.Kiufupi ni kwamba kipindi changu kilicho kua kirushwe Eatv ni baba Sasha ndio alienda kunizibia kipindi changu kistopishwe gafla - kwa Kweli ilikua haingii akilini kabisa - Eatv walinifata wenyewe kuniomba kufanya reality show - tukashuti vipindi- wakanipa show ya kutambulisha kipindi - na tulifanya kikao Mara ya mwisho siku chache kabla ya show - na mpaka wamenipa FNL kutambulisha kipindi- siku ya jumapili ya mwisho nilikua na kipindi radeioni na Ndio ilikua interview ya mwisho ya kutambulisha kipindi na jina langu nimekuta getini nimeingia mpaka ndani wkt wakipindi naambiwa hakuna kuna mabadiliko- nikashangaa sana nikampigia producer hapokei- baadae ana niambia hajui kinacho endelea - nampigia boss haelezi maelezo yakutosha kiufupi kulikua hakuna wa kuniambia chochote ! Kha! Na hapo kipindi nimeanza kurusha matangazo kwamba kinaanza jumanne dah ! Sikuelewa mwisho kabis nikaambiwa boss kasema hakuta kuwa na msimu mpya Tena ! nikiangalia kwenye tv naona msimu mpya wa vipindi ! Juzi Ndio nakuja Ku find out kwamba ni Joseph !

Ni kachoka kabisa nimelia kwa uchungu sana ! Ameniachia mtoto namlea peke yangu hatoi hata shilingi Na Bado sehemu ambayo ningepata ugali wa mwanangu kwenda kunizibia ????? Why Joseph ????? Ugali wa mwanao ?Ubaya gani mkubwa nilio kufanyia mpaka imefika huko ?????? It's sad nilijua wewe una roho mbaya lkn sikujua Kama una roho mbaya ilio pitiliza !!!!! mm nisinge fika huko hata siku moja !

Wkt wa uchaguzi nimefatwa Na watu tofauti tofauti mpaka watu kutoka Mbeya nikasaidie uchaguzi kwa kukuponda tu nilipwe!!! lkn nikisema hapana wewe ni baba wa mwanangu ! ......... Lkn wewe umenifanyia hivi? Na kwa hili kamwe sitakusamehe zaidi ya kumshatakia mwenyezi Mungu tu Ndio ataweza kukuhukumu!!! Bado Tanzania viongozi wana tumia madaraka vibaya! Bado Tanzania wanawake wananyanyaswa- Tanzania Bado sana kuhusu haki hata Kama sheria zipo.." Faiza Ally
huyu mwanamke ni kichaa
 
Back
Top Bottom