Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo dada atafute kazi au shughuli ya kufanya!yeye kazi ni kuji-expose na kuelezea maisha binafsi yake na mtalaka wake bila kujua kuwa si jambo jema!
kwani hiyo hotel sio msaada kwa wananchi wa jimbo lake... eehh je angejenga dar si ungelia upasuke?? je angejenga ulaya si ungejinyonga???upeo wako wa kufikiri ni mwembamba kama unyoya...acha kufikiri kwa kutumia makalio..Sugu anatumia image mbaya ya Faiza kuendelea kumkandamiza.
Sugu ni mbinafsi sana.
Sugu ana roho mbaya sana.
Mapesa ya jimbo badala ya kusaidia wananchi walipa kodi wa Mbeya mjini yeye kaenda kujenga hotel yake tena kiwanja kaandika jina la mama yake.
Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.Usela mavi wa Sugu unadhihirika kwa huyu dada.
Kujidai kote ujanja ilikuwaje azae na mwanamke wa namna hii?
SMH.
Huyu ndo mmoja wa wale wanawake wapumbavu duniani
Kwa hiyo mwanao usimtunze kisa ukichaa wa mama ake.
Kulea ujinga kama huu ni kulikuza tatizo, Faiza alidhani atatumia gia ya mtoto kula pesa za bure kutoka kwa Sugu, amebugi huyu mwanamke apelekwe milembe kwenye wodi ya vichaa haraka sana.
mahakama ilishaamuru Sugu apewe mtoto amtunze ,yeye kamng'ang'ania . Hivyo atulize boli amlee huyo mtoto
Kesi ilienda mahakaman faiza hataki kutoa mtoto anasema anaonewa..ndio ujue shida ni pesa..uliona ile video kamrekod mwanae eti analilia hana hela ya kusuka..kamdhalilisha mtt sana...
yule mwanamke ni kichaaMnyonge mnyongeni haki yake mpeni hakuna aliyekamilika chini ya jua.halafu huyo mhe.akumbuke cheo ni dhamana.always try to do the right things in this world.walikuwepo maarufu lakini tulishawasahau
faiza si anamngangania si Alisha nyanganywa alivyotembea makalio wazi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji107] [emoji107]basi amchukue mwanae,sugu hampi pesa za matumizi
safi sugu... mama mzima anatembeza makalio nje si anayauza hawampi pesa hao?, kwa nn sugu ampe?! hajiheshumu hajitambui...Sugu anatumia image mbaya ya Faiza kuendelea kumkandamiza.
Sugu ni mbinafsi sana.
Sugu ana roho mbaya sana.
Mapesa ya jimbo badala ya kusaidia wananchi walipa kodi wa Mbeya mjini yeye kaenda kujenga hotel yake tena kiwanja kaandika jina la mama yake.