Mbilinyi (Sugu) kazi anayo kwa huyu mwanadada

Mbilinyi (Sugu) kazi anayo kwa huyu mwanadada

Sugu anatumia image mbaya ya Faiza kuendelea kumkandamiza.


Sugu ni mbinafsi sana.

Sugu ana roho mbaya sana.

Mapesa ya jimbo badala ya kusaidia wananchi walipa kodi wa Mbeya mjini yeye kaenda kujenga hotel yake tena kiwanja kaandika jina la mama yake.
kwani hiyo hotel sio msaada kwa wananchi wa jimbo lake... eehh je angejenga dar si ungelia upasuke?? je angejenga ulaya si ungejinyonga???upeo wako wa kufikiri ni mwembamba kama unyoya...acha kufikiri kwa kutumia makalio..
 
Huyu ndo mmoja wa wale wanawake wapumbavu duniani
 
Huyu ndo mmoja wa wale wanawake wapumbavu duniani

Nyie mtukaneni tu, ila yule sio chizi wala sio mpumbavu.
Halafu kumbukeni hata chizi mwenyewe hawezi kufanya uchizi muda wote lazima kuna muda atafanya vya maana.......hata ukipita tu akakusalimia hilo nalo ni jambo la msingi pia.
 
Mahusiano ya watu ni zaidi ya tujuavyo. Wote sugu na faiza hawajielewi.
 
Kulea ujinga kama huu ni kulikuza tatizo, Faiza alidhani atatumia gia ya mtoto kula pesa za bure kutoka kwa Sugu, amebugi huyu mwanamke apelekwe milembe kwenye wodi ya vichaa haraka sana.

Hakuna cha gear wala nini, mtoto keshatengezwa ni jukumu lao wote kumhudumia kama wazazi maana walimtafuta kwa hiyari yao bila kushikiwa bunduki!

Kwahili ni ukweli kuwa Sugu ana roho mbaya hata mwanae hampendiiii!! Period!
Yaani the so claimed uchizi wa mama ndo ukufanye umsuse mwanao?! Eti mpaka upewe ukae nae ebhoooo!!! Amesahau kuwa kuna mtu alimbeba tumboni miezi tisa kwa mahangaiko kibao na akamzaa kwa uchungu........leo ndo aje amuachie hivi hivi??!!! Acheni utani!
 
!
!
Mimi nimesoma izi wooote na michango yote hadi hapa. Nimeamua kutokuchangia kitu chochote. Napita kimyaaaa
 
mahakama ilishaamuru Sugu apewe mtoto amtunze ,yeye kamng'ang'ania . Hivyo atulize boli amlee huyo mtoto

Mkuu labour unapajua au unapasikia?
Ushawahi kuishi miezi tisa/kumi out of mood??!

Wanaume wa type hiyo hawafai hata kwa kurumangia. Yaani Faiza kumng'ang'ania mtoto ndo kunampa Sugu haki ya kumsusa mwanae? (Mind you mwanae and not Faiza) Wewe mamako angekung'ang'ania halafu baba akakususia ungefurahi? Aisee

Halafu kuna ugumu gani sugu kupeleka matumizi kwani?! Hapo sipaelewi!
 
Nash
Kesi ilienda mahakaman faiza hataki kutoa mtoto anasema anaonewa..ndio ujue shida ni pesa..uliona ile video kamrekod mwanae eti analilia hana hela ya kusuka..kamdhalilisha mtt sana...

mtoto bado mdogo PIA Faiza alitoa maelezo kua sugu ataenda kumuacha mwanae kwa mama yake maana yupo busy na bunge,so mtoto ni vyema alelewe na mama yake,mtahukumu Faiza kwa mambo yake lakin kwa hili Sugu atoe pesa za matumizi,faiza halii bure jamani Sugu anaonekana bahili sana cha bure kwake ni sperms Tu,
 
Mnamuonea faiza sababu ya kupenda kukaa uchi lakin sio yote anakosea bana lisemwalo lipo na angekua anampa pesa wala faiza asingelalalmika mitandaoni,tena faiza
 
Huyu Dada ata ukikutana naye utajua tu hamnazo ,kamanda ilikuwaje ukajichanganya hizo anga au mapromota koko walikushushia zigo baada ya show, hii kitu iweke sawa itakugharimu sana.
 
Sugu anavuta bangi na kunywa mapombe makali.

Faiza ni mvaa vibaya.



Hivi unaweza kumjaji mtu hapo kuwa hafai mbele ya mwenzie.

Sugu ana historia ya ubinafsi na roho mbaya angalia watu waliopita katika maisha yake ameishia kuwasaliti sababu ya roho ya choyo.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni hakuna aliyekamilika chini ya jua.halafu huyo mhe.akumbuke cheo ni dhamana.always try to do the right things in this world.walikuwepo maarufu lakini tulishawasahau
yule mwanamke ni kichaa
 
Sugu anatumia image mbaya ya Faiza kuendelea kumkandamiza.


Sugu ni mbinafsi sana.

Sugu ana roho mbaya sana.

Mapesa ya jimbo badala ya kusaidia wananchi walipa kodi wa Mbeya mjini yeye kaenda kujenga hotel yake tena kiwanja kaandika jina la mama yake.
safi sugu... mama mzima anatembeza makalio nje si anayauza hawampi pesa hao?, kwa nn sugu ampe?! hajiheshumu hajitambui...
mtoto
akikua akakuta baba mheshimiwa mama alivaa pampaz mara akakaa makalio waz dunia nzima ikimtizama[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379] sugu komaa
 
Back
Top Bottom