Mbilinyi (Sugu) kazi anayo kwa huyu mwanadada

Mbilinyi (Sugu) kazi anayo kwa huyu mwanadada

Wanafanana tabia yule mwingine ni black widow
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka mpaka bhaaaaaassss
 
Mkuu labour unapajua au unapasikia?
Ushawahi kuishi miezi tisa/kumi out of mood??!

Wanaume wa type hiyo hawafai hata kwa kurumangia. Yaani Faiza kumng'ang'ania mtoto ndo kunampa Sugu haki ya kumsusa mwanae? (Mind you mwanae and not Faiza) Wewe mamako angekung'ang'ania halafu baba akakususia ungefurahi? Aisee

Halafu kuna ugumu gani sugu kupeleka matumizi kwani?! Hapo sipaelewi!

Huyo faiza ye ndo wakwanza kwenda labour ? mbona wanawake kibao tu wametulia wanalea watoto wao? unauhakika Sugu hapeleki matumizi ya mtoto?hata akipeleka kwa akili ya huyo mwanamke unadhani atasema kuwa analetewa matumizi?

Lengo la faiza ni kumchafua Sugu na kumdhalilisha basi so hata akipewa hawezi sema. Sugu angekuwa mswahili kama kina nanihii angeonyesha hadi risiti za ada anazomlipia mtoto .Labda Sugu awe anaenda kupeleka hizo hela ustawi wa jamii kila mwezi na wao ndo wawe wanampa huyo bi shosti
 
Mkuu labour unapajua au unapasikia?
Ushawahi kuishi miezi tisa/kumi out of mood??!

Wanaume wa type hiyo hawafai hata kwa kurumangia. Yaani Faiza kumng'ang'ania mtoto ndo kunampa Sugu haki ya kumsusa mwanae? (Mind you mwanae and not Faiza) Wewe mamako angekung'ang'ania halafu baba akakususia ungefurahi? Aisee

Halafu kuna ugumu gani sugu kupeleka matumizi kwani?! Hapo sipaelewi!
Nonsense!
huyo mwanamke hajiheshimu hata kidogo, abit of self control and respect ingemsaidia kuliko anayofanya sasa!
Anatafuta kick hili apige hela kwa kuanika maisha binafsi kwy TV, hakuna mwanaume timamu anaweza ruhusu upuuzi kama huo!
Big up Hon.Joseph Mbilinyi aka 'Sugu'
 
Ni kweli kabisa yaani hiyo show ili iuze basi asilimia tisini angekuwa anamzungumzia sugu
 
Mnaoquote essay nzima mnaboa. Tunapata shida kuscroll kwene vimeo vyetu dadek zenu.
Back to the point.. manzi hajielewi. Ugomvi wake ilitakiwa aumalize huko huko.. sisi hata akitueleza..hatuna cha kumsaidia.
 
Huyu dada nilimuona hana maana alipovaa nguo ilioacha wazi vitako vyake kama viandazi vya bakhresa.
inawezekana kabisa kapigwa chini kwa ajili ya kutembea uchi nani atakubali kushusha hadhi ya kituo chake kwa kuchukua taka taka kama ile
 
Usela mavi wa Sugu unadhihirika kwa huyu dada.

Kujidai kote ujanja ilikuwaje azae na mwanamke wa namna hii?

SMH.

Wagumu wanapenda sana crazy girls who can roll with anything coz wenyewe wana mambo mingi

But seriously kipindi cha kwanza namuona huyu bidada, alikuwa anaonekana mstaarabu
 
Back
Top Bottom