Mbilinyi (Sugu) kazi anayo kwa huyu mwanadada

Mbilinyi (Sugu) kazi anayo kwa huyu mwanadada

Faiza sio wa kwanza kulea mtoto single handely...tena mtoto mmoja...wangekuwa watatu?si angetengeneza documentary na aljazera..mmh
 
Sugu hana sababu na uwezo wa kuzuiya kipindi cha huyo Dada otherwise kama anamuingiza mtoto Sasha kwenye hizo seen zake.
Kama anamrecord mtoto kama mshiriki wa hicho kipindi Sugu kama mzazi anastahili kutoa consent yake Sasha ashiriki au laa Asha.
 
Aende Clouds watampa nafasi maana hao ni adui na mzazi mwenzake.
 
Jamani kwenye contact za hiyo TV anipe. Mama Gaude wangu na yeye anataka kurusha reality show mi wala sina noma.
 
Km hapa no nguo...
 

Attachments

  • 1459267264733.jpg
    1459267264733.jpg
    24.4 KB · Views: 28
Huyu dada anatafuta populality kupitia kwa Mbunge na kweli inawezekana atapata maana wasanii wengi wanafanya hivyo
 
Huyo dada nae,kama anajua MUNGU yupo atahukumu si akae kimya tu amuachie MUNGU?Ah!
Lengo lake watu wajue. Kama imani kuhusu uwepo wa Mungu ingekuwa rahisi kiasi hicho kusingekuwa na vitabu vya dini.
 
Back
Top Bottom