Mbingu, Anga, Jua na Uumbaji...

Mbingu, Anga, Jua na Uumbaji...

Mnahangaika kuhoji vitu msivovijua. Akili ya Mwanadamu haiwezi kutambua Uumbaji wa Mungu Tosheka na kwama Mungu ameumba kila kitu mbinguni na ardhini na vilivyomo..kwa kifupi ni Kila kitu.
 
Sawa kabisa, kama picha zinavyo onesha, na kama umesoma vizuri mada yangu iliyo zungumzia VITA SITA AMBAVYO MUNGU HAKUUMBA unaweza kunielewa vizuri.

Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

huo ulimwengu ni zao la mungu, na mungu ndio kasababisha BING BANG. na kwa ujanja wake akaweza kumfunga kiza.
Unawapotosha wenye akili za panzi. We binadamu una uwezo gani wa kumpangia uumbaji wa Mungu ?

Kuna vitu vingine mpaka leo Hiyo sayansi yako haijapata majibu viliumbwaje.
 
Sawa kabisa, kama picha zinavyo onesha, na kama umesoma vizuri mada yangu iliyo zungumzia VITA SITA AMBAVYO MUNGU HAKUUMBA unaweza kunielewa vizuri.

Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

huo ulimwengu ni zao la mungu, na mungu ndio kasababisha BING BANG. na kwa ujanja wake akaweza kumfunga kiza.
Ina maana giza ndo alikuwa mkuu wa Ulinwengu!

Mimi naamini katika sayansi na dini pia maana havikwepeki. Dini inasema Ulimwengu uliumbwa na mwenyezi Mungu na Sayansi inasema Ulimwengu ulitokana na BING BANG. So sioni mahali hizi theory zinapoingiliana. am sorry kwa uelewa wangu huo.
 
Uhai na umauti

hapa mimi nazungunzia Kifo

Nakubali kuwa mungu kaumba kiza, lakini si hichi ambacho nakizungumzia mimi.

Mathalani, kwa mujibu wa quran, hatuna tunachojua juu mambo mengi kabla ya MUNGU, na hayo tusio yajua ndio KIZA chenyewe ninacho kizingumza, na kiza ambacho kilikuwa na mungu kabla ya ulimwengu.
Umeniacha hapa kwenye ufafanyzi wa KIZA. Be specific unaongelea kiza kipi? ina maana kutokuelewa jambo ndio kiza unachomaaanisha?
 
Mnahangaika kuhoji vitu msivovijua. Akili ya Mwanadamu haiwezi kutambua Uumbaji wa Mungu Tosheka na kwama Mungu ameumba kila kitu mbinguni na ardhini na vilivyomo..kwa kifupi ni Kila kitu.
Usijinyime maarifa, ukishatosheka matokeo yake utakuwa na idle brain na kumbuka An idle brain is a capentry of a devil
 
Na Mimi na Waza Mungu haku Umba Muda.....(time)
 
Usijinyime maarifa, ukishatosheka matokeo yake utakuwa na idle brain na kumbuka An idle brain is a capentry of a devil

Acha uoga wa kufikiria .....na Majibu yako ya kinafiki....
 
Acha uoga wa kufikiria .....na Majibu yako ya kinafiki....
Vipi mbona umekuja na kisirani? Nilichoandika kitabaki hivyo hivyo na kuna siku kitakuwa msaada mkubwa sana kwako! Kumbuka maandashi hayafutiki
 
naomba kuuliza kwa hiyo KIZA na MUNGU ni marafiki kwa sababu walikuwa pamoja tangu zamani?
 
Sawa kabisa, kama picha zinavyo onesha, na kama umesoma vizuri mada yangu iliyo zungumzia VITA SITA AMBAVYO MUNGU HAKUUMBA unaweza kunielewa vizuri.

Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

huo ulimwengu ni zao la mungu, na mungu ndio kasababisha BING BANG. na kwa ujanja wake akaweza kumfunga kiza.
Mkuu BIG BANG ilisababishwa na Mungu kivipi?

Maana wanasayansi hawatambui uwepo wa Mungu hapo huoni unajicontradict kihoja?

Wanasayansi wanasema ilitokea baada ya Singularity (unknown) ya gesi ya hydrogen ikasababisha mlipuko wakimaanisha kilichosababisha huo mlipuko mpaka leo hakijulikani vipi uje useme Mungu ndiye alikuwa chanzo kwa ushahidi upi?
 
Hapo mi naona hivi
Pale Mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi, kwahiyo hakukuwa na chochote kile, so mwanzo wake ulikuwa hapo, hilo giza ni sehem ya ulimwengu, kila kitu kilfanyaka kwake wala pasipo yeye hakuna chochote kilichofanyika, ma Mungu alikuwepo kabla ya huo ulimwengu.
 
Back
Top Bottom