Mbingu, Anga, Jua na Uumbaji...

Halafu mwenyewe anajiona ana akili sana na ameelezea kitu kigumu sana,wakati magenius tuko kimya na kazi ya ALLAH haina shaka wala kasoro.
 
Brilliant.amaizing,astonishing!u a very genius
Nashangaa sana kuna VILAZA wanajiona wana akili nyingi sana na wanayaona makosa ya mungu eti kwasababu wana digirii,masters na Phd.Tena wengine wanajiona magenius kwasababu wamesoma UDSM na MZUMBE,kwahiyo wana uwezo mkumbwa sana wa kufikiri na kuchambua mambo ya kuonyesha mapungufu ya mungu.Nathibitisha kwamba wote ni VILAZA kwa mujibu wa aya ya ALLAH isemayo
"Ahadi ya mwenyezi mungu ni kweli lakini watu wengi hawajui"
ALLAH meahidi kila nafsi itaonja umauti na katika hili hakuna haja ya kuhangaika wala digirii kuliona,pia namalizia kuthibitisha kwamba watu hawa ni VILAZA tena kwa level ya profesa kwakuuliza swali lifuatalo;
Je mtu aliyekufa kwakupungukiwa damu mwili wake ambao unakua ni maiti ukiongezewa damu atarudi katika uhai au atafufuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…