Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Waislamu wao katika mbingu yao watakuwa wanapewa chochote wanachotaka, raha zote watapewa. Hadithi zinaenda mbali zaidi kusema wanaume watapewa wanawake mabikira 72 wanaojirudia ubikira wakifanya ngono. Kutakuwa na mito ya pombe, asali na maziwa na raha nyingine zote za kila aina unazotaka.
Wakristo wao mbingu yao imeelezewa kama ni kuimba na kuabudu zaidi, sasa kwa wale wasiopenda kuimba na kuabudu itakuwa inaboa sana na kukata mood.
Wakristo wao mbingu yao imeelezewa kama ni kuimba na kuabudu zaidi, sasa kwa wale wasiopenda kuimba na kuabudu itakuwa inaboa sana na kukata mood.