secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Huwa inachekesha sana yaani! Hivi kutoa bikra kila ukitaka kungonoka ni kurahisi hivyo?! Unatoa bikra Moja kwa tabu unahamia kwa bikra nyingine 🤔Hapo kwenye kuzibabatua bikra huwa pananiacha hoi. Imagine kila ukirudi unakuta bikra imerudi upyaaa....
Ila sasa manzi 72 zote bikra zitakuwa na tofauti gani? Au ndiyo kutakuwa na manzi nyeupe, nyeusi, kichina, kichagga, fupi, ndefu .n.k? Maana kutoa bikra kila siku ni usumbufu usio wa lazima. Kutesana tu😁
Anyway, ngoja nikifika nitajionea mwenyewe.