Mbingu ya Waislamu inatamanisha na kusisimua kuliko ya Wakristo.

Mbingu ya Waislamu inatamanisha na kusisimua kuliko ya Wakristo.

1. siku 72 ustaadh anakuwa anafanya mapenzi tu,
2. mungu wao "hata kuabudiwa wala kusifiwa" , amewaachia wafanye sex tu.
Kuabudu peponi!?..unajua kwa nini qiyama inaitwa siku ya malipo?
3. Uzazi wa mpango sijui itakuwaje , maana hawa bikra wote wakishika mimba?
Hakuna hedhi huko,usifikirie biashara ya pedi
 
1. siku 72 ustaadh anakuwa anafanya mapenzi tu,
2. mungu wao "hata kuabudiwa wala kusifiwa" , amewaachia wafanye sex tu.
3. Uzazi wa mpango sijui itakuwaje , maana hawa bikra wote wakishika mimba?
Hii Elimu ya kikoloni ya kukariri, imetuletea kizazi cha watu wajinga!
 
Tuna ambiwa Muhamadi alikuwa na nguvu za kutomba sawa na za wanaume 30:
Akaowa wanawake 12 akatomba watumwa wake 18:
Matokeo watoto 0 sufuri:
Mitume wote walio owa wanawake wana watoto:
Muhamadi wake 12 watoto 0 sufuri:.
Pamoja na kumwoa kwa nguvu mtoto mdogo kwa kulazimisha Aisha
na kupora mke wa mwanawe wa kufikia Zayd:
Watoto ni 0 sufuri.
Aliishia kukata viuno tu na kuchekacheka:
She is a comforta of Women only:
Aliishia Kurogwa na kupewa sumu na Akafariki:
Nabii anarogwaje kama sio ushirikina:
Aisha hakuwahi kimkubali Muhamedi kama mume wake:
Muhamedi aliwatisha wazazi wa Aisha Hadi wakaogopa na kutoa kitoto Cha ili akiowe na yeye akafurahi sana:

Wake 12, Watumwa 18 watoto 0 sufuri:
Na mnamwota Nabii wa Ibirisi Shetani Allah:
Hao Majini alio wasilimisha walikuwa wankutana Wapi?

Kwa uandishi huu, sidhani kama umewahi kusoma hata robo ya Biblia unayo iamini
Na kama Biblia yenyewe hujasoma, utawezaje kukosoa kitabu cha Quran ambacho hujawahi kusoma?
Ulicho andika hapa, ni blaa blaa za mtaaani mnazodanganyana
Mf; mtume alikuwa na watoto tena wengi tu mengine, sioni haja ya kubishana na wewe
 
Naona sisi wapiga nyeto tutatengwa huko mbinguni, anyway watupe hata shetani tuwe tunamfanyia blowjob 😎
😹😹 Mkuu ukishapanda mnazi kimoja utaonyeshwa pa kulala ukajikunje kama korosho sisi tukipiga paipu mpaka asubuhi 🙌🏿🙌🏿
 
😹😹 Mkuu ukishapanda mnazi kimoja utaonyeshwa pa kulala ukajikunje kama korosho sisi tukipiga paipu mpaka asubuhi 🙌🏿🙌🏿
Sio kweli, kuna fununu kuwa tutapewa shetani tumpigie nyeto na hatutochoka
 
Sifa za mbigu ya waislamu zinafanana na sifa za shetani.
 
Hapo kwenye kuzibabatua bikra huwa pananiacha hoi. Imagine kila ukirudi unakuta bikra imerudi upyaaa....

Ila sasa manzi 72 zote bikra zitakuwa na tofauti gani? Au ndiyo kutakuwa na manzi nyeupe, nyeusi, kichina, kichagga, fupi, ndefu .n.k? Maana kutoa bikra kila siku ni usumbufu usio wa lazima. Kutesana tu😁
Hivi aliyekupa u platinum member nani wewe kasuku
 
Utani pembeni bikra 72 haipo kwenye uisilamu, it's something ambacho kimekua maarufu kwa kusambazwa na western media to the point mpaka Baadhi ya waisilamu wanaamini ni kweli. Kuna hadithi inayosema hivyo ila ni dhaif, hakuna Hadith yoyote sahihi ama Quran inayosema waisilamu watapewa Bikra 72.

Tukija kwenye Pepo ya waisilamu,

Uisilamu hata kabla ya modern science unaamini eneo nje ya Dunia ni kubwa mno, siku zote mtume akielezea what's out there alitumia mfano wa bahari na tone la maji, ama udondoshe Pete kwenye jangwa, tone la maji likiwa ni Dunia na what's out there ikiwa ni bahari.

Kwenye uisilamu watu wa peponi mwenye rank ndogo kabisa atakua na Eneo equivalent ya Dunia mara 10 yake, so Pepo kwenye uisilamu sio Tu kuzuri Bali ni sehemu kubwa sana nje ya Universe ambayo watu wataenda baada ya maisha ya Dunia kuisha.

Pia kwenye uisilamu tunatofautisha baina ya mbingu, Pepo na makazi ya Mungu,

Mbingu zinaanza kwanza hata sisi tupo mbinguni right now, universe zote zipo mbingu ya 7, after that kuna Pepo then Arsh ya Mungu.
Kwenye Quran Ar-Rahman 55:56, 72-74 "houris" (mabikira) wametajwa ila idadi ndio haijawekwa.
 
Back
Top Bottom