Mbinguni kuna amani na furaha ya milele. Ndugu tuweke malengo ya kuishi milele kwa Mungu

Mbingu ya Islam Iko chini, lakini mbingu ya WATAKATIFU Iko juu.

Ukijua Kuna Mbingu ya kwanza Hadi ya tatu, ndipo utajua mbingu ya Islam Iko tofauti na ya wakristo.
weeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!! mbinguni bila mikasi na mi2ngu ni mbingu gani hiyo?
 
Kwanini kusifu na kuabudu ni raha kuliko kuwa na mke mzuri?
 
Kwanini kusifu na kuabudu ni raha kuliko kuwa na mke mzuri?
Adam aliishi miaka mingi bila mke na MAISHA yalisonga.

Sasa uwe katika uwepo na uzuri wa Mungu vipi uwaze mke?

Na ujue miili mipya tutakayopewa Si hii, ni mipya, Haina tamaa ya ngono.

Halafu Mbinguni Kuna mengine yanafanyika, Si kumsifu na kuabudu pekee, kula na kunywa pia kupo.

Kuna matunda na vyakula ambavyo duniani havupo, Kuna Kila aina ya uzuri
 
Adam aliishi miaka mingi bila mke na MAISHA yalisonga.
Kwanini akapewa mke kama hakuwa anahitajika?
Sasa uwe katika uwepo na uzuri wa Mungu vipi uwaze mke?
Adam hakuwa katika uwepo wa uzuri wa MUNGU?
Na ujue miili mipya tutakayopewa Si hii, ni mipya, Haina tamaa ya ngono.
Kwanini isiwe na tamaa ya ngono, mbona ngono ni zawadi nzuri sana tuliyopewa?
Nijibu bila unafiki, kati ya kuimba na ngono kipi ni starehe kwa binadamu? Ukumbuke wanafiki hawataiona mbingu.
Halafu Mbinguni Kuna mengine yanafanyika, Si kumsifu na kuabudu pekee, kula na kunywa pia kupo.
Kuna kwenda haja kubwa na ndogo? Usilidharau hili swali nina sababu ya kukuuliza.
Kuna matunda na vyakula ambavyo duniani havupo, Kuna Kila aina ya uzuri
kuna kusikia njaa?
 
Amina mtumishi, hivi hizo picha ni za mbinguni?? Hamuoni kama hazifai kutumika maana kuna wengine wataona mbinguni ni poa kawaida wataanza kuzitumia kama wanavyotumia picha za muigizaji wa movie ya Jesus
Unajua watu wameelekeza imani zao kwa kuona kwa macho yao. Ndio maana ya picha hizo, kikubwa usiabudi kila picha unayokutananayo.
Pata maarifa tu kutoka kwenye picha
 
Mbinguni Kuna kula lakini hakuna njaa,

Hakuna huzuni,

Hakuna kufa,

Hakuna hasira,

Hakuna vyoo, maana ulapo hauhutaji mchakato kama wa mwili huu, mwili wa kiroho ni kama kioo, ni kama Malaika walivyo.

Kuelewa mambo ya MWILI wa Roho Kwa akili za mwilini ni ngumu sana.

Adam aliishi miaka mingi bila mke na hakuona tofauti yoyote.
 
Sasa unakula ili iweje kama hakuna njaa?
 
Ukitaka ngono, ingia mbingu ya Waislamu, kule kuzimu kavu,

Ngono IPO tena ngono ya kinyume Cha maumbile, baba na mtoto kuzini ni kawaida kama wafanyavyo wachawi.

Ngono na ufirauni vipo kuzimu kavu, kuzimu Ina layers, Ile layer yenye moto ni Kwa waliokwisha kufa wale WANADAMU, Ile layer ya kwanza, ilipo office ya shetani na mapepo na wachawi na washukao kuzimu kupata utajiri, hakuna moto, ngono hizo zipo, na baba ya huo uchafu ni shetani,

Jehanum hakuna ngono ni mateso, sasa Ukiwa mchawi ukienda kuzimu hutaona moto maana utakuwa hujafa, ukifa shetani akugeuka, unaingia gereza lenye moto na atakutesa huko kunakoitwa kuzimu ya moto, baadaye Mungu atakutupa jehanum kwenye HUKUMU ya mwisho.

Shetani ni mwongo, mwamini Yesu Ili uingie Mbinguni. Upate Uzima WA milele.
 
Mbinguni Kuna kula lakini hakuna njaa,
Raha ya kula usikie njaa, raha ya kunywa uwe na kiu. Unaposema raha, unafahamu maana yake lakini boss?
Ili raha iwepo lazima pawepo tatizo na ufumbuzi wa papo kwa hapo, sasa kama hakuna tatizo hiyo raha unaidefine kwa kutumia nini? Mfano raha ya kuwa na deni ni uwe na fedha ya malipo. Sasa raha unayoisema inakuwa define vipi?
Hakuna huzuni,
Well, hili ni jambo zuri.
Hakuna kufa,
Jambo zuri, ila unaishi milele ukifanya mambo gani?
Hakuna hasira,
Jambo zuri.
Hakuna vyoo, maana ulapo hauhutaji mchakato kama wa mwili huu, mwili wa kiroho ni kama kioo, ni kama Malaika walivyo.
Malaika wapoje?
Kuelewa mambo ya MWILI wa Roho Kwa akili za mwilini ni ngumu sana.
Hapana, kinachotakiwa ni kuachana na assumption.
Mfano nikuulize, Kwanini unasema hakuna vyoo? Umesoma wapi kuwa hakuna vyoo?
Adam aliishi miaka mingi bila mke na hakuona tofauti yoyote.
Utofauti unaupimaje boss? Utofauti unaupima baada ya kuwa na mke si kabla.

Hapa ni sawa na kusema mababu zetu hawakuwa na simu na hawakuona tofauti yoyote. Ukirudi miaka yao ukapeleka simu hawataona huo utofauti?

Alipewa mke sababu alimuhitaji japo alikuwa hajui kama ambavyo mababu walihitaji simu japo hawajui.

Unless uniambie MUNGU hakujua Adam alihitaji nini, alikuwa anabahatisha bahatisha tu maana hakuna utofauti wa kabla ya kumleta mwanamke na baada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…