Mbinguni kuna amani na furaha ya milele. Ndugu tuweke malengo ya kuishi milele kwa Mungu

Mbinguni kuna amani na furaha ya milele. Ndugu tuweke malengo ya kuishi milele kwa Mungu

Abortion was better than your birth.

Afadhali ungetolewa mimba ufe kabisa kuliko kuzaliwa kwako.

You cannot wish for a house of gold in heaven while you have never touched gold right here on earth.

If you fail to live on Earth the fantasy of heaven is an illusion.

Hakuna Mbingu.

Hakuna Mungu.
 
Mimi ndio ndoto yenyewe.

Mtu ni ROHO, anayo NAFSI, na anaishi ndani ya MWILI.
OOh, ok, So unachosema ulinunua gari mara mbili au ya kwenye ndoto haikuwa gari kweli?
 
Mashetani yanawaza abortion kama ni jambo la kawaida.
Shetani hayupo.

Wapumbavu kama ninyi mnaowaza maisha ya kufikirika mbinguni, Afadhali msingezaliwa hapa duniani.

Kuzaliwa kwenu hapa duniani hakuna faida. Bora mngetolewa mimba mfe kabisa. Muishi huko mbinguni.
 
OOh, ok, So unachosema ulinunua gari mara mbili au ya kwenye ndoto haikuwa gari kweli?
Nimesema gari nilinunua katika mwili,

Ndotoni niliona nikiendesha gari, sikuona habari ya kununua gari.

Umeelewa?
 
Shetani hayupo.

Wapumbavu kama ninyi mnaowaza maisha ya kufikirika mbinguni, Afadhali msingezaliwa hapa duniani.

Kuzaliwa kwenu hapa duniani hakuna faida. Bora mngetolewa mimba mfe kabisa. Muishi huko mbinguni.
Chochote chenye Jina kipo.
 
Mbingu ya kupewa mabikra 72 uliona wapi?

Stuka, hiyo Si mbingu,

Mbingu halisi IPO, nakuambia UKWELI, situkani dini hapa.
Sasa na ww hiyo mbigu unayo ihubiri hapa una ushahidi gani kama ipo,au ulishwa wahi kuiona?

Kama ww ulivyo na imani na hiyo mbigu yako ambayo hujawahi kuiona ,basi na waisilam wana imani yao kuhusu hiyo mbingu yao ambayo na wao hawajawahi kuiona.
Hivyo kila mtu ahamini kile anacho kiona ni sahihi kwake hakuna haja ya kukashifiana.
 
Umetumia kamera gani mkuu kupiga picha mbinguni? Halafu mbona pa kawaida sana 😃😃😃
Yawezekana nyakati hizi unapitia changamoto fulani, nakuombea usibaki kwenye hilo sononeko bali mtazame Mungu ukajipe tumaini kwake na mambo yako yatakuwa sawa.

Kikubwa mwanadamu pale alipo chagua kutomsikiliza Mungu na kuamua kufuata njia zake, Mungu alimpa uhuru wa kujiamulia mambo yake.

Shinda ni kwamba duniani kuna pande mbili zenye nguvu ya kwanza inaitwa NURU na ya pili inaitwa GIZA.

Kwa hiyo mwanadamu unaweza ukawa unapitia changamoto fulani kumbe ni upande wa GIZA unakutikisa ili utoke kwenye mstari mnyoofu.

Kataa kutumikia upande wa GIZA na uwe na tumaini kwa Mwenyezi Mungu ambaye kaandaa mazingira mazuri mbinguni kwa wote watakaoushinda upande wa GIZA na machukizo.

Jipe tumaini la kuwa miongoni mwa watakatifu watakao kuwemo kwenye Dunia mpya ijayo.

View attachment 3201461

View attachment 3201462

View attachment 3201463

View attachment 3201464

Kikubwa upande wa NURU uwe njia zako zilizo njema.
Yesu Kristo ndiye NURU ya ulimwengu na ndiye mlango wa kuingia mbinguni.
Ucha kuufanya moyo wako mgumu na ukakataa kujifunza kuhusu Yesu Kristo.
Ukimkaribisha Yesu katika maisha yako HOFU YA GIZA haitakuandama. Utaibuka mshindi na kuishinda Zinaa na uasherati, Pombe na Ulevi, Ushoga, Uchawi, mizimu, uabudu sanamu (uchawa), Mauaji, tamaa ya madaraka, hofu za kidini, dharau, matusi, masengenyo n.k

Tumwamini Yesu ili mapito yetu hapa duniani yawe ya nuru (utakatifu) na mwisho tukifa atupokee mbinguni kwa matarumbeta.

Yohana 14:6
[6]Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
View attachment 3201483
 
Nimesema gari nilinunua katika mwili,

Ndotoni niliona nikiendesha gari, sikuona habari ya kununua gari.

Umeelewa?
Ndotoni uliendesha gari au uliona ukiendesha gari? Nataka tu nielewe.
 
Sasa na ww hiyo mbigu unayo ihubiri hapa una ushahidi gani kama ipo,au ulishwa wahi kuiona?

Kama ww ulivyo na imani na hiyo mbigu yako ambayo hujawahi kuiona ,basi na waisilam wana imani yao kuhusu hiyo mbingu yao ambayo na wao hawajawahi kuiona.
Hivyo kila mtu ahamini kile anacho kiona ni sahihi kwake hakuna haja ya kukashifiana.
Mbingu ni halisi Si hadithi.

Na hiyo muiitayo mbingu ilipo office ya shetani penye KITI chake Cha enzi penye hizo ahadi za ngono IPO halisi.

Na mbingu ya WATAKATIFU IPO halisi Si hadithi.
 
Ndotoni uliendesha gari au uliona ukiendesha gari? Nataka tu nielewe.
Niiiendesha gari kabisa, wakati huo katika mwili time Ile, niko mtoto Sina gari , sijui kuendesha, Sina lesseni nk nk
 
Back
Top Bottom