Mbinguni kuna amani na furaha ya milele. Ndugu tuweke malengo ya kuishi milele kwa Mungu

Mbinguni kuna amani na furaha ya milele. Ndugu tuweke malengo ya kuishi milele kwa Mungu

Raha ya kula usikie njaa, raha ya kunywa uwe na kiu. Unaposema raha, unafahamu maana yake lakini boss?
Ili raha iwepo lazima pawepo tatizo na ufumbuzi wa papo kwa hapo, sasa kama hakuna tatizo hiyo raha unaidefine kwa kutumia nini? Mfano raha ya kuwa na deni ni uwe na fedha ya malipo. Sasa raha unayoisema inakuwa define vipi?

Well, hili ni jambo zuri.

Jambo zuri, ila unaishi milele ukifanya mambo gani?

Jambo zuri.

Malaika wapoje?

Hapana, kinachotakiwa ni kuachana na assumption.
Mfano nikuulize, Kwanini unasema hakuna vyoo? Umesoma wapi kuwa hakuna vyoo?

Utofauti unaupimaje boss? Utofauti unaupima baada ya kuwa na mke si kabla.

Hapa ni sawa na kusema mababu zetu hawakuwa na simu na hawakuona tofauti yoyote. Ukirudi miaka yao ukapeleka simu hawataona huo utofauti?

Alipewa mke sababu alimuhitaji japo alikuwa hajui kama ambavyo mababu walihitaji simu japo hawajui.

Unless uniambie MUNGU hakujua Adam alihitaji nini, alikuwa anabahatisha bahatisha tu maana hakuna utofauti wa kabla ya kumleta mwanamke na baada.
Sasa Mbinguni hakuna uchafu,

Vyoo hutunza uchafu, waste products,

Sasa Mbinguni hakuna kitu hiyo.

Mtu na Malaika tofauti Yao ni ndogo sana.

Mtu aliye ndani ya MWILI, ni kama tu Malaika,

Tulia vizuri chunguza ndoto zako, Kuna wakati unatembea na kwenda sehemu mbalimbali na unaona, unatembea na kutambua Kila kitu while mwili umelala.

Huyo ndiye mtu, ni ROHO tu kama Malaika walivyo Roho na miili ya Roho.
 
Sasa Mbinguni hakuna uchafu,

Vyoo hutunza uchafu, waste products,
Sikia mkuu, hapo ulipo una kinyesi tumboni. Kinyesi ni nyumbani kwa viumbe hai wengine wengi tu. Viumbe vya MUNGU, unajua hilo?
Sasa Mbinguni hakuna kitu hiyo.
Mbinguni hakuna viumbe wengine zaidi ya binadamu?
Mtu na Malaika tofauti Yao ni ndogo sana.
Ni ipi?
Mtu aliye ndani ya MWILI, ni kama tu Malaika,

Tulia vizuri chunguza ndoto zako, Kuna wakati unatembea na kwenda sehemu mbalimbali na unaona, unatembea na kutambua Kila kitu while mwili umelala.

Huyo ndiye mtu, ni ROHO tu kama Malaika walivyo Roho na miili ya Roho.
Ok, unachosema hapa ni kuwa mwili wa ndotoni pia una hisia. Kwenye ndoto umeshawahi kuota upo maliwatoni? Vipi kuhusu ndoto pevu?
 
Dalili mojawapo ya uzezeta na afya ya akili ni kuwa na mawazo ya kuinjoi maisha ya dhahania/mbinguni ili hali ya huku duniani yamekutoa jasho/kushinda
Dini ni utapeli
 
Sikia mkuu, hapo ulipo una kinyesi tumboni. Kinyesi ni nyumbani kwa viumbe hai wengine wengi tu. Viumbe vya MUNGU, unajua hilo?

Mbinguni hakuna viumbe wengine zaidi ya binadamu?

Ni ipi?

Ok, unachosema hapa ni kuwa mwili wa ndotoni pia una hisia. Kwenye ndoto umeshawahi kuota upo maliwatoni? Vipi kuhusu ndoto pevu?
Sasa ukiota unakojoa kitandani ukakojolea kitanda Cha mwilini,

Hujiulizi kwanini hujaloanisha huko ndotoni?

Ndipo ujue ndoto zipo aina tatu.

1. Zipo ndoto ambazo mwili unaota Kwa kupeleka taarifa kwenye nafsi. Ni matukio kana uliyoeleza, umelala njaa, unaota unakula chakula kitamu, umebanwa mkono, unaota unakojoa.

2. Zipo ndoto au matukio halisi Roho hufanya, NAFSI inadaka na kupeleka kumbukumbu kwenye akili Kisha unakumbuka .

Hizo ndio ndoto nazoelezea, ni tukio la mtu halisi mwenye mwili wa Roho. Unaona halisi kabisa unatoka mwilini unaenda huko na huko.
 
Sasa ukiota unakojoa kitandani ukakojolea kitanda Cha mwilini,

Hujiulizi kwanini hujaloanisha huko ndotoni?

Ndipo ujue ndoto zipo aina tatu.
Unajuaje kuwa huko ndotoni hakujalowa?
1. Zipo ndoto ambazo mwili unaota Kwa kupeleka taarifa kwenye nafsi. Ni matukio kana uliyoeleza, umelala njaa, unaota unakula chakula kitamu, umebanwa mkono, unaota unakojoa.

2. Zipo ndoto au matukio halisi Roho hufanya, NAFSI inadaka na kupeleka kumbukumbu kwenye akili Kisha unakumbuka .

Hizo ndio ndoto nazoelezea, ni tukio la mtu halisi mwenye mwili wa Roho. Unaona halisi kabisa unatoka mwilini unaenda huko na huko.
Halafu mkuu, unachagua maswali ya kujibu mengine unayakwepa mbona.
 
Kwani kula ni Hadi uwe na njaa?

Njaa ni hisia tu,

Mgongwa mahututi aliyepoteza uwezo wa kuhisi njaa, kwanini alishwa chakula?
Kuna nyie naona hamvielewi. Njaa ni alarm ya mwili kuwa kuna ufungufu wa nishati inayohitajika kwa ajili ya utendaji wa kawaida wa mwili, then ndipo binadamu anakula. Hauwezi kula kama huna njaa, huo ndo ukweli, kwa sababu chakula kiusingi siyo kiburudisho, ni hitaji la msingi la binadamu ili kuishi. Hiyo ladha nzuri unayoihisi ukiwa unakula ni namna mwili umetengenezwa ili kukufanya uhamasike kula.

Mtu aliyepoteza uwezo wa kuhisi njaa analishwa ili asife, kwa sababu inajulikana wazi kuwa kama hahisi njaa, hatokula na asipokula atakufa. Hivyo inabidi alishwe kwa nguvu ili asife. Na huo ni ushahidi mwingine kuwa binadamu wanakula chakula kwa sababu ya njaa, bila njaa binadamu hawezi kula.
 
Ili kufurahia matunda na vyakula alivyoandaa Mungu kwa ajili ya watakatifu wake.
Yohana 6:35
[35]Yesu akawaambia, Mimi ndimi chakula cha uzima; yeye ajaye kwangu hataona njaa kabisa, naye aniaminiye hataona kiu kamwe.
Ina maana kweli pamoja na sifa zote za mbinguni starehe zake ni kula mafenesi na maparachichi?

Pili, ni lipi andiko linaloeleza maisha ya mbinguni yalivyo kama mnavyoyaelezea hapa?
 
Kuna nyie naona hamvielewi. Njaa ni alarm ya mwili kuwa kuna ufungufu wa nishati inayohitajika kwa ajili ya utendaji wa kawaida wa mwili, then ndipo binadamu anakula. Hauwezi kula kama huna njaa, huo ndo ukweli, kwa sababu chakula kiusingi siyo kiburudisho, ni hitaji la msingi la binadamu ili kuishi. Hiyo ladha nzuri unayoihisi ukiwa unakula ni namna mwili umetengenezwa ili kukufanya uhamasike kula.

Mtu aliyepoteza uwezo wa kuhisi njaa analishwa ili asife, kwa sababu inajulikana wazi kuwa kama hahisi njaa, hatokula na asipokula atakufa. Hivyo inabidi alishwe kwa nguvu ili asife. Na huo ni ushahidi mwingine kuwa binadamu wanakula chakula kwa sababu ya njaa, bila njaa binadamu hawezi kula.
Si Kweli,

Watu wanakula Ili waishi.

Ndipo ujue,

Kwa kuwa Mbinguni Pana maisha milele ,

Kula ni muhimu ingawa hakuna njaa.
 
Si Kweli,

Watu wanakula Ili waishi.

Ndipo ujue,

Kwa kuwa Mbinguni Pana maisha milele ,

Kula ni muhimu ingawa hakuna njaa.
Sasa unabisha nini kama unakubali binadamu wanakula ili waishi.? Na huo umuhimu wa kula pasipokuwepo na njaa unatoka wapi? Au mbinguni pia usipokula unakufa?
 
Mengi tu, we rudi pitia kama si tabu. Ila tukiachana na hayo mengine, jibu hili la unajuaje kuwa huko ndotoni hakujalowa?
Pangeloa ungeona au ungeota unaenda kuandika godoro la huko ndotoni.

Mwili Ule ni WA kiroho, na mwili wa nyama una namna yake.

Ukiota unakojoa, mama haraka, Roho haikojoi, ni mwili.

Tofautisha hayo usijepata Aibu Kwa mkeo, maana hatokuelewa.
 
Sasa unabisha nini kama unakubali binadamu wanakula ili waishi.? Na huo umuhimu wa kula pasipokuwepo na njaa unatoka wapi? Au mbinguni pia usipokula unakufa?
Kula kunaendelea hata baada ya kufa.

Kwani Mbinguni unaenda bila kufa ndugu?

Tumbo la mwili lisipokuwepo, halizuii tumbo la Roho kuendelea kula na kunywa. Kinachobadilika ni mfumo na Utaratibu wa kula na kunywa katika mwili wa Roho.

Umeelewa?
 
Leta japo mstari mmoja wa biblia unaothibitisha usemalo...
 
Pangeloa ungeona au ungeota unaenda kuandika godoro la huko ndotoni.
Embu niambie, umeshawahi kuota jambo gani likakamilika ndotoni? Jambo moja tu.
 
Yawezekana nyakati hizi unapitia changamoto fulani, nakuombea usibaki kwenye hilo sononeko bali mtazame Mungu ukajipe tumaini kwake na mambo yako yatakuwa sawa.

Kikubwa mwanadamu pale alipo chagua kutomsikiliza Mungu na kuamua kufuata njia zake, Mungu alimpa uhuru wa kujiamulia mambo yake.

Shinda ni kwamba duniani kuna pande mbili zenye nguvu ya kwanza inaitwa NURU na ya pili inaitwa GIZA.

Kwa hiyo mwanadamu unaweza ukawa unapitia changamoto fulani kumbe ni upande wa GIZA unakutikisa ili utoke kwenye mstari mnyoofu.

Kataa kutumikia upande wa GIZA na uwe na tumaini kwa Mwenyezi Mungu ambaye kaandaa mazingira mazuri mbinguni kwa wote watakaoushinda upande wa GIZA na machukizo.

Jipe tumaini la kuwa miongoni mwa watakatifu watakao kuwemo kwenye Dunia mpya ijayo.

View attachment 3201461

View attachment 3201462

View attachment 3201463

View attachment 3201464

Kikubwa upande wa NURU uwe njia zako zilizo njema.
Yesu Kristo ndiye NURU ya ulimwengu na ndiye mlango wa kuingia mbinguni.
Ucha kuufanya moyo wako mgumu na ukakataa kujifunza kuhusu Yesu Kristo.
Ukimkaribisha Yesu katika maisha yako HOFU YA GIZA haitakuandama. Utaibuka mshindi na kuishinda Zinaa na uasherati, Pombe na Ulevi, Ushoga, Uchawi, mizimu, uabudu sanamu (uchawa), Mauaji, tamaa ya madaraka, hofu za kidini, dharau, matusi, masengenyo n.k

Tumwamini Yesu ili mapito yetu hapa duniani yawe ya nuru (utakatifu) na mwisho tukifa atupokee mbinguni kwa matarumbeta.

Yohana 14:6
[6]Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
View attachment 3201483
Ishi kwa furaha duniani ili ukifa nafsi yako iwe na amani, hiyo ndiyo furaha . Eti unaishi duniani kama Mganga wa kienyeji ukitarajia furaha ambayo ni ya kufikirika
 
Ukitaka ngono, ingia mbingu ya Waislamu, kule kuzimu kavu,

Ngono IPO tena ngono ya kinyume Cha maumbile, baba na mtoto kuzini ni kawaida kama wafanyavyo wachawi.

Ngono na ufirauni vipo kuzimu kavu, kuzimu Ina layers, Ile layer yenye moto ni Kwa waliokwisha kufa wale WANADAMU, Ile layer ya kwanza, ilipo office ya shetani na mapepo na wachawi na washukao kuzimu kupata utajiri, hakuna moto, ngono hizo zipo, na baba ya huo uchafu ni shetani,

Jehanum hakuna ngono ni mateso, sasa Ukiwa mchawi ukienda kuzimu hutaona moto maana utakuwa hujafa, ukifa shetani akugeuka, unaingia gereza lenye moto na atakutesa huko kunakoitwa kuzimu ya moto, baadaye Mungu atakutupa jehanum kwenye HUKUMU ya mwisho.

Shetani ni mwongo, mwamini Yesu Ili uingie Mbinguni. Upate Uzima WA milele.
Ww badala uhubili hizo hadhithi zako umefikia kukashifu na kutukana dini zingine zisizo kuhusu.
Au kigezo cha kuingia kwenye hiyo mbingu yenu ni kutukana na kuwakashifu waisilam?
 
Embu niambie, umeshawahi kuota jambo gani likakamilika ndotoni? Jambo moja tu.
Gari yangu ya kwanza niliyonunua, nimeiota tangu nlilipokywa mdogo,

Niliona tukio Hilo halisi mara nyingi na likajirudia.

Siku niliyonunua gari na kuanza kuendesha, picha ya ndoto Ile Ile ilijirudia na nilkajua kumbe ndoto Ile ilikuwa halisi, muda tu wa rohoni na mwilini ndio tofauti.
 
Ile uliyoinunua ndotoni ulirudi ukaikosa?
 
Ww badala uhubili hizo hadhithi zako umefikia kukashifu na kutukana dini zingine zisizo kuhusu.
Au kigezo cha kuingia kwenye hiyo mbingu yenu ni kutukana na kuwakashifu waisilam?
Mbingu ya kupewa mabikra 72 uliona wapi?

Stuka, hiyo Si mbingu,

Mbingu halisi IPO, nakuambia UKWELI, situkani dini hapa.
 
Back
Top Bottom