Sasa Mbinguni hakuna uchafu,Raha ya kula usikie njaa, raha ya kunywa uwe na kiu. Unaposema raha, unafahamu maana yake lakini boss?
Ili raha iwepo lazima pawepo tatizo na ufumbuzi wa papo kwa hapo, sasa kama hakuna tatizo hiyo raha unaidefine kwa kutumia nini? Mfano raha ya kuwa na deni ni uwe na fedha ya malipo. Sasa raha unayoisema inakuwa define vipi?
Well, hili ni jambo zuri.
Jambo zuri, ila unaishi milele ukifanya mambo gani?
Jambo zuri.
Malaika wapoje?
Hapana, kinachotakiwa ni kuachana na assumption.
Mfano nikuulize, Kwanini unasema hakuna vyoo? Umesoma wapi kuwa hakuna vyoo?
Utofauti unaupimaje boss? Utofauti unaupima baada ya kuwa na mke si kabla.
Hapa ni sawa na kusema mababu zetu hawakuwa na simu na hawakuona tofauti yoyote. Ukirudi miaka yao ukapeleka simu hawataona huo utofauti?
Alipewa mke sababu alimuhitaji japo alikuwa hajui kama ambavyo mababu walihitaji simu japo hawajui.
Unless uniambie MUNGU hakujua Adam alihitaji nini, alikuwa anabahatisha bahatisha tu maana hakuna utofauti wa kabla ya kumleta mwanamke na baada.
Vyoo hutunza uchafu, waste products,
Sasa Mbinguni hakuna kitu hiyo.
Mtu na Malaika tofauti Yao ni ndogo sana.
Mtu aliye ndani ya MWILI, ni kama tu Malaika,
Tulia vizuri chunguza ndoto zako, Kuna wakati unatembea na kwenda sehemu mbalimbali na unaona, unatembea na kutambua Kila kitu while mwili umelala.
Huyo ndiye mtu, ni ROHO tu kama Malaika walivyo Roho na miili ya Roho.