Mbinguni kuna amani na furaha ya milele. Ndugu tuweke malengo ya kuishi milele kwa Mungu

So, kwa maelezo yako ndoto si kitu halisi ni utabiri. Ni sawa?
Ukisema ndoto ni utabiri pia ni sawa Kwa kuwa muda wa tukio la rohoni ndotoni ni nyuma au mbele ya tukio la mwilini sababu rohoni hakuna time.

Pia ni Kweli kuwa ndoto ni tukio halisi.

Hivyo yote umesema sawa katika angle tofauti.

Karibu.
 
“Amin, nawaambia, sitakunywa tena katika uzao wa mzabibu, hadi siku ile nitakapounywa mpya katika Ufalme wa Mungu” (Marko 14:25).

Kwa hiyo kula mbinguni kupo kulingana na Yesu mwenyewe aliyeishi na anaishi mbinguni
Ok, tunawezake kuthibisisha maandiko hayo maandiko kuwa ni kweli?
 
Yesu kristo awe njia na uzima wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…