Kuna utafiti unaoendelea kuhusu roho....wako kwenye kipengele cha nguvu za uvutana(kama sumaku)...pamoja na ndoto kuona yajayokwa hiyo wanasayansi wamekubali kama kuna Mungu? Manake wao ndio huwa wa kwanza kulipinga hilo kwa kuamini zaidi sayansi yao ndio kila kitu. Pia mbinguni ni sehemu ya kiroho zaidi sio rahisi kuonekana kwa macho ya mwilini au kwa kutumia vifaa vilivyotengenezwa na mwanadamu, hao ni wazushi tu labda wameona sayari nyingine
Wanasayansi wamegundua mahali mbingu na pepo ilipo katika anga za mbali sana,Ma trilioni ya kilometer kwa speed ya mwanga kwa mabilioni ya miaka.
Aidha chombo kilichotumwa ''Centurion'' miongo kadhaa iliyopita kimetuma taarifa kadhaa hapa duniani na kudhibitika kwamba mbinguni/peponi ni jambo dhahiri.
Wanasayansi wameongeza kwamba hakuna kiumbe kitakachoweza kuingia maeneo hayo kwani damu itakauka umbali wa kilometer milioni kadhaaa kabla ya kupakaribia.
watajaribu sana lakini wanasahau kuwa maandiko yanasema Mungu hachunguziki(Tazama haya hizi za biblia: Isaya 40:28; Zaburi 145:3 na warumi11:3-34).
Chanzo.Discovery science
Pia wanasayansi wamegundua kwamba Mwenyezi Mungu ni nguvu kubwakupindukia inayofanya mambo yote kwa mpangilio.
Wanasayansi wamegundua mahali mbingu na pepo ilipo katika anga za mbali sana,Ma trilioni ya kilometer kwa speed ya mwanga kwa mabilioni ya miaka.
Aidha chombo kilichotumwa ''Centurion'' miongo kadhaa iliyopita kimetuma taarifa kadhaa hapa duniani na kudhibitika kwamba mbinguni/peponi ni jambo dhahiri.
Wanasayansi wameongeza kwamba hakuna kiumbe kitakachoweza kuingia maeneo hayo kwani damu itakauka umbali wa kilometer milioni kadhaaa kabla ya kupakaribia.
Chanzo.Discovery science
Pia wanasayansi wamegundua kwamba Mwenyezi Mungu ni nguvu kubwakupindukia inayofanya mambo yote kwa mpangilio.
Wanasayansi wamegundua mahali mbingu na pepo ilipo katika anga za mbali sana,Ma trilioni ya kilometer kwa speed ya mwanga kwa mabilioni ya miaka.
Aidha chombo kilichotumwa ''Centurion'' miongo kadhaa iliyopita kimetuma taarifa kadhaa hapa duniani na kudhibitika kwamba mbinguni/peponi ni jambo dhahiri.
Wanasayansi wameongeza kwamba hakuna kiumbe kitakachoweza kuingia maeneo hayo kwani damu itakauka umbali wa kilometer milioni kadhaaa kabla ya kupakaribia.
Chanzo.Discovery science
Pia wanasayansi wamegundua kwamba Mwenyezi Mungu ni nguvu kubwakupindukia inayofanya mambo yote kwa mpangilio.
Nimeipenda signature yakoWanasayansi wamegundua mahali mbingu na pepo ilipo katika anga za mbali sana,Ma trilioni ya kilometer kwa speed ya mwanga kwa mabilioni ya miaka.
Aidha chombo kilichotumwa ''Centurion'' miongo kadhaa iliyopita kimetuma taarifa kadhaa hapa duniani na kudhibitika kwamba mbinguni/peponi ni jambo dhahiri.
Wanasayansi wameongeza kwamba hakuna kiumbe kitakachoweza kuingia maeneo hayo kwani damu itakauka umbali wa kilometer milioni kadhaaa kabla ya kupakaribia.
Chanzo.Discovery science
Pia wanasayansi wamegundua kwamba Mwenyezi Mungu ni nguvu kubwakupindukia inayofanya mambo yote kwa mpangilio.
Wame Confirm kuna nguvu kubwawanasayansi wanasahau kuwa maandiko yanasema Mungu hachunguziki. Uwezi wa mwanadamu ni mdogo sana kumchunguza Mungu soma (Isaya 40:28;Zaburi 145:3 na warumi 11:33-34)
kwa hiyo wanasayansi wamekubali kama kuna Mungu? Manake wao ndio huwa wa kwanza kulipinga hilo kwa kuamini zaidi sayansi yao ndio kila kitu. Pia mbinguni ni sehemu ya kiroho zaidi sio rahisi kuonekana kwa macho ya mwilini au kwa kutumia vifaa vilivyotengenezwa na mwanadamu, hao ni wazushi tu labda wameona sayari nyingine