Mbinguni/peponi pamegunduliwa

Mbinguni/peponi pamegunduliwa

Pepo haitoonekana tukiwa katika ulimwengu wetu huu, ni sehemu ambayo jicho la binadamu na la kiumbe chochote kilichopo hapa Duniani Halitoweza kuona. A matter of Fact, only death is standing between you and Pepo au Moto. So kama we are eager to see them, wait for that unknown second when Malaika mtwaaji wa Roho atakapokuunganisha katika Maisha yajayo.
Hili ni neno
 
Mmmmhh.. wanasayansi kwa assumptions hawajambo..!! jamani
 
wanasayansi wanasahau kuwa maandiko yanasema Mungu hachunguziki. Uwezi wa mwanadamu ni mdogo sana kumchunguza Mungu soma (Isaya 40:28;Zaburi 145:3 na warumi 11:33-34)
Endelea kuamin maneno yako hayo.... kitendo cha wanasayansi kufanya utafiti wa kumtafuta Mungu imeleta a lot of changes ktka maisha yetu nd how we think about our universe. Many of us tulikuwa tunaamin Mungu yuko juu ukishaipita anga inayoonekana ni bluu. Wengi tulikuwa tunafikir kwamba tunaishi ndani ya dunia na sio nje. Bila science knowledge tungekuwa idiots
 
Kwa wakristo lengo lao Sio Kwenda PEPONI bali kwenda mbinguni .

Wanaolenga Kwenda Peponi ni Waislamu tu.
Wengine wanalenga Kwenda mahala Kwingine kabisa.

Peponi ni mahali wanakokaa MAPEPO
Mbinguni ni mahali anapokaa Mungu na malaika zake
 
75aa6d4fb72a3aaf4ec3efd65152f8ca.jpg
Aiseeeee
 
Peponi ni mahali wanakokaa MAPEPO
Mbinguni ni mahali anapokaa Mungu na malaika zake
Msikilize Yesu hapa. Alikwenda wapi Baada ya KUFA?

LUKA 23: 42-47.

42.Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako.
43 Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami PEPONI.

44 Hapo ilikuwa yapata saa sita, kukawa giza juu ya nchi yote hata saa kenda,
45 jua limepungua nuru yake; pazia la hekalu likapasuka katikati.

46 Yesu akalia kwa sauti kuu, akasema, Ee Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu.
47 Alipokwisha kusema hayo alikata roho.

Sasa kwa maana Yako hio hapo Juu. Yesu aliahidi kuwa na Yule aloyesulubiwa karibu yake kuwa WOTE WAWILI watakuwa Kwenye MAPEPO au Sio?

Asante sana Ndugu Mchungaji kwa Kutuonyesha Kiwango chako cha Elimu kilivyo kikubwa.
 
Mie hapa bado nazidi kuchanganyikiwa kwa sababu wahubiri wengine wanasema alishuka kuzimu kuchukua funguo za malmaka..sasa watu washike lipi?
 
Mie hapa bado nazidi kuchanganyikiwa kwa sababu wahubiri wengine wanasema alishuka kuzimu kuchukua funguo za malmaka..sasa watu washike lipi?
Mkuu wala hauko peke yako kwa hili.
Wengi wetu hatuelewi kitu.
Iko haja ya kutazama kipi tunakifuata tusije kujuta siku moja.
 
Wanasayansi wamegundua mahali mbingu na pepo ilipo katika anga za mbali sana,Ma trilioni ya kilometer kwa speed ya mwanga kwa mabilioni ya miaka.
Aidha chombo kilichotumwa ''Centurion'' miongo kadhaa iliyopita kimetuma taarifa kadhaa hapa duniani na kudhibitika kwamba mbinguni/peponi ni jambo dhahiri.
Wanasayansi wameongeza kwamba hakuna kiumbe kitakachoweza kuingia maeneo hayo kwani damu itakauka umbali wa kilometer milioni kadhaaa kabla ya kupakaribia.
Chanzo.Discovery science
New-Star-Discovered.jpg

Pia wanasayansi wamegundua kwamba Mwenyezi Mungu ni nguvu kubwakupindukia inayofanya mambo yote kwa mpangilio.

Hiko kifaa kimetumwa mwaka gani hicho kifaa?.??? Tuanzie hapo
 
Acha porojo za kina Cinderella.
 
kwa hiyo wanasayansi wamekubali kama kuna Mungu? Manake wao ndio huwa wa kwanza kulipinga hilo kwa kuamini zaidi sayansi yao ndio kila kitu. Pia mbinguni ni sehemu ya kiroho zaidi sio rahisi kuonekana kwa macho ya mwilini au kwa kutumia vifaa vilivyotengenezwa na mwanadamu, hao ni wazushi tu labda wameona sayari nyingine

Lakini uwezo wa Mungu hauna mipaka. Anaweza kuwaonyesha jambo kwa utukufu wake kama vile anavyofanya kwa manabii.

Ninasubiria nione wale majuha wasiojua hata sayansi moja ambao kazi yao ni kuiga na kubisha kwa kuwa kuna mtu alisema. tenaahwafikirr hata kama huyo msemaji kama ni mkweli kliko Mungu kwa nini alikufa. Sijui watasema nini hapa?

Ila ukweli ni kwamba hata kama bila wanasayansi kuona "Mungu yuko na Mbingu na Jehanum ni dhahiri". Wanaopinga wote ni watumishi wa shetani ambaye ni baba wa uwongo wote!.
 
Back
Top Bottom