Hii habari kwa ujumla wake sidhani kama ina ukweli wowote kama unavyodai.
Wanasayansi wa nchi gani mkuuu?, nimejaribu kuangalia hiyo source uliyoitoa hapo chini sijaona hiko kitu kama hicho, kitu ambacho kimeweza kugunduliwa mpaka ni Gravitational waves kutoka black holes ambazo zilifafanuliwa na albert einstein kwenye general relativity theory, Na huko mbeleni kwa tafiti zinazoendelea ni kwamba astronomers wanaweza kutumia hizi waves badala ya light kusoma galaxies za mbali.
Gravitational Wave Observatory Finds More Colliding Black Holes
The Future of Gravitational Wave Astronomy
Hakuna chombo kinachoitwa hilo jina centurion,"A
centurion (
Latin:
centurio;
Greek: κεντυρίων,
kentyríōn, or ἑκατόνταρχος,
hekatóntarkhos) was a professional officer of the
Roman army after the
Marian reforms of 107 BC.
Most centurions commanded groups of centuries of around 100 men
[5] but senior centurions commanded
cohorts or took senior staff roles in their
legion".
Centurion - Wikipedia, the free encyclopedia
Mkuu kama hiko chombo kipo tunaomba utuwekee source cha kuaminika kinachoelezea hiko chombo na kimengenezwa wapi na wanasayansi wa nchi gani na nchi gani inachomiliki hiko chombo? na kilitumwa wapi?
Kilomita milioni kadhaa ndo nini? Hao wanasayansi wa nchi gani tuanaomba ufafanulie wanashindwa kufanya makadirio ya umbali na kusema kilomita kadhaa?
Mr unafahamu nini kuhusu Alpha Centaur, huu ni mfumo ambao kwa sisi hapa tunaona kama nyota ndio ambayo ipo karibu na sisi ambapo hii sehemu pia pana sayari ambapo umbali wake ni 4 light years kutoka hapa duniani,
1 light year=5.87849981 x 10^12 miles
4 light year=?????
kama kuna chombo kinapelekwa kwenye alpha centaur kimakadilio kinaweza chukua miaka 165,000 kufika huko, sasa ww unasema kimepelekwa centaur na kugundua huu ni uongo.
Mpaka sasa hakuna teknology yakufikia alpha centaur tu hapo wanachokitumia kusoma hizo galaxies na system zingine ni telescopes, na hakuna chombo kimepelekwa huko sehemu ulizoandika kama unavyodai.
How long would it take to get to Alpha Centauri? | EarthSky.org
Naomba utupe link ya habari yako kwa uhakika zaidi tupate kusoma.
Swala la Mwenyezi Mungu linabaki kuwa la kiimani zaidi kwa jinsi ambavyo wanasayansi wanavyofanya tafiti ni ngumu sana kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa kutumia sayansi.
Kiranga
Mish Albert
einstein newton
UHURU JR
Free ideas