mhh mikono ya mwanamke ndo imekaa kupika na kufua?
kuwa realistc kwa maisha ya sasa wote twaenda porini kusaka maua mazuri ssa iweje tena utake mkeo aawe mjakaz?ITAKUWA AUJAMPENDA BALI UMEOA ILI AWE MTUMWA...
Tiger hao wageni unajua walikuwa akina nani.............hao ni mkewe sarah? be serious next time bro........... Tiger
Wana wake wengi wa siku izi ukitumia ivyo vigezo wako belowa 50%
Unakuta mtu kaolewa ata haelewi kwa nini kaolewa kichwani kwake anajua ni FASHION TUU!
Mengi ya ukweli mkuu hasa kwenye kuendesha gari. Siku moja nilizidiwa night wife akaendesha kwenda hospital, ilibidi nifunge macho nisione kinachoendelea. (labda ni udhaifu wake tu, sijasema wote ni madereva wabaya)
kwenye kupika sawa lakini kwenye kuchoma nyama nikialika marafiki hilo langu, yeye atasaplai vifaa vya kazi tu. Kuna raha ya kuchoma nyama mkononi na glass ya scotch
nimechukua namba 6 na 7 seriously........
1.Kupika ni Jukumu la Mwanaume
2. Kupika je
Mwanaume kamili hafanyi hayo Mambo hapo.. Hako ni kavulana
We uliumbwa nikuletee Pesa za chakula ukanitafutie Vyakula vinono nile nikupende zaidi. Ukileta Mambo ya Ubeijing. Wanawake wa KITANGA na Zanzibar Wanakuwa Nyumba Ndogo..
Hizi mbinu ni muarobaini wa wake/ma-GF korofi na utawashikisha adabu...............nimeifupisha kutoka kwenye hii makala ya
Donts for husbands
Haya ni masharti ya kukwepa mwanandni wako kufikiri naye ni kidume ndani ya mahusiano yenu..........ukishindwa haya au kama ukijipima ukaona hupati maksi 80 au maswali nane kati ya kumi basi wewe unatawaliwa na mwanamke na mahusiano yenu yapo hatarini kuvunjika au wewe kuwa huna furaha maisha yako yote na utakufa kwa shinikizo la damu na ugonjwa wa moyo...................
amka jikomboe kutoka kwenye utumwa wa mwanamke..............
English, ENGLISH, ENGLISHSijaona cha maana hapo. Hayo sio maisha ya ndoa/mahusiano yenye mapenzi ndani yake. Mtu unajikomoa wewe ili kumkomesha mwanamke unaejidai unampenda ili iweje?! Ukishaingiza kukomeshana na kukomoana kwenye mahusiano yako jua hamna kitu hapo, yani you might aswell just call it a quit.
WORTHLESS!!!
na wanaume wanokidhi vigezo ni % ngapi?? Truth be told kwa taarifa tu japo wababa walikuwepo lakini wanawake (mama zetu) ndio waliowezesha wengi wengi wetu hapa tukasoma kwa kuuza mama ntilie na vitumbua na sasa tuna maisha bora na hata tunaweza kubofya hizi Qwerty keybord , na hata sasa bado mwanamke ndiye anayehudumia familia kwa sehemu kubwa. hizo role za wanaume wanawake ndio wanaziplay big time..why? b'se more and more men are becoming irresponsible and some one has to take charge I don't mind mind even if is a woman!!
Just listen to yourself..yani vitu vinavyokupa raha ndo ufanye ww visivyokupa mkeo afanye..na yeye visivyompa raha ?? selfishness huua upendo kabisa!
Namba moja na mbili sisi tunaoshinda vijiweni tutafanyaje?
Kutoka saa 12 asubuhi ,kuingia 12:30 jioni ..
Ruta wewe mkoloni sana