Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka kitambo wakati ndio mitandao ya kijamii inaanza kuvuma nikajikuta nimetongoza kimwana Facebook, cha kushangaza kuja kukutana nae haendani kabisa na ile taswira iliyonivutia, ilibidi nilale mbele ukawa ndio mwanzo na mwisho kushobokea mademu kwa social media...kweli mkuu mwisho wasiku unameet jenifa unakuta jenifa mwenyewe huelew uende nae wapi
warembo wasnapchat nyie gia zenu tunazo hahah[/QUOTE
Labda wengine bana sio mimi
Umejuaje mkuu?Naona unatoa mbinu za kuwapata single mothers wa jf
8 kati ya 10 ya wanawake wa jf ni single mothers
Usisahau hilo
sema fb afadhali mzee unaona hata details fursa nyingi zipo fbNakumbuka kitambo wakati ndio mitandao ya kijamii inaanza kuvuma nikajikuta nimetongoza kimwana Facebook, cha kushangaza kuja kukutana nae haendani kabisa na ile taswira iliyonivutia, ilibidi nilale mbele ukawa ndio mwanzo na mwisho kushobokea mademu kwa social media...
Player boysiri yangu mkuu