Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Mkuu kitengo ngoja tukichukueHizi enzi nimeshastaafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kitengo ngoja tukichukueHizi enzi nimeshastaafu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu ning'ate sikio vizuri hapoUshapotea hapo[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole. Wanaume MNA matukio!!!![emoji119]Nakumbuka kitambo wakati ndio mitandao ya kijamii inaanza kuvuma nikajikuta nimetongoza kimwana Facebook, cha kushangaza kuja kukutana nae haendani kabisa na ile taswira iliyonivutia, ilibidi nilale mbele ukawa ndio mwanzo na mwisho kushobokea mademu kwa social media...
Namba 3 nimeipenda kumbe hadi brand inajengwa?1.profile yako iwe smart! kuanzia username,post zako na unazochangia hata akija kuchunguza hakuti mistake zaidi ya kuvutiwa tu
2.changamana nao kwenye majukwaa mbalimbali,taniana nao,zoeana nao,kuwa marafiki nao Ila usitangulize tamaa ukishafika fika halo utakua unaweza kuchat nao hadi DM mtazungumza vitu vingi wasome nachukua point .
3.kuwa tofauti,usiige kuwa kama flani,jenga brand yako,uwe na dizaini yako ya kipekee,usiwe harsh katika mazungumzo yako
4.kuwa mtu mwenye mtazamo flank na itikadi kama mwanaume kamili usiebabaika ambae unaweza kumwendesha mwanamke ,jiamini na usijisifusifu hovyo hata kidogo kuhusu wewe wala maisha yako halisi.wafanye watamani kujua zaidi kuhusu wewe
5.jipangilie,usiwe muwazi kilakitu Ila pangilia mambo yako yote yaonekane kama nikweli tupu.usitangulize mambo ya pesa mbele.
6.chagua target yako maalumu ya wanawake unaowataka wafatilie kwa umakini,wasome profile zao na mienendo yao.kishabooom!! jiandae kujilia mizigo lukuki!!
kwaniaba ya wanaaaaaa that's what we call men code.see ya there
Unapotoshwa. Komaa na yule tu wa mtaani kwakoAcha atupe madini[emoji23] [emoji23]
Humu ukitaka kutafuna hadi utawagonganishaMkuu kitengo ngoja tukichukue
Mmmh kuna kaukweli hapo [emoji16][emoji16][emoji16]Naona unatoa mbinu za kuwapata single mothers wa jf
8 kati ya 10 ya wanawake wa jf ni single mothers
Usisahau hilo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Naamini utampata. Carba pita huku!!carbamazepine vipi ka I'd name kangu na ka-profile naweza kukupata kweli. [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MNA kazi nyie!!!Namba 3 nimeipenda kumbe hadi brand inajengwa?
Lakin sawa japo sio sawa san[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MNA kazi nyie!!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kujichosha tu[emoji30] [emoji30]Wangu sikumpata kwa mbinu hizo.
Watu hawafanani, Hakuna formula maalum.
Procedures zote hizo za nini?
Harakati za pimbi hazijawahi fanikiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu ning'ate sikio vizuri hapo
Hayo macho ya njano kama una umwa manjano?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]carbamazepine vipi ka I'd name kangu na ka-profile naweza kukupata kweli. [emoji23][emoji23]
Napita kama hivi[emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji23] [emoji23] [emoji23] Naamini utampata. Carba pita huku!!
Na kwel Mkuu hahaVita hivi inabidi tubadili mbinu mkuu
Aiseee kuna mtu mmoja hapa Id yake ni balaaa nikajua ewaaaaaaahMimi kama balozi wa wanaojificha natoa taarifa kwako.
Tutaendelea kujificha kama kawaida [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mshana Jr alituzidi uchawi tu hamna kingine[emoji23] [emoji23] [emoji23]