Mbinu 6 za kumpata mwanamke JF

Yote hayo kujichosha tu.

Tafuta hela tu.
Wanawake wako kibao huku kitaa, ukibahatika kukanyaga Tanga basi matatizo yako yamekwisha kuhusu totoz umemaliza.
kwamba huko watoto wamejaa tele au kuna kale kamzizi
 
Naona unatoa mbinu za kuwapata single mothers wa jf
8 kati ya 10 ya wanawake wa jf ni single mothers
Usisahau hilo
dah[emoji20] [emoji20] sizitaki mbichi hizi.kumbe .....
 
Mi siamini kabisa watu na mbinu zao naamini zangu nikikosa basi kesho nitapata
 
kweli mkuu mwisho wasiku unameet jenifa unakuta jenifa mwenyewe huelew uende nae wapi
Nakumbuka kitambo wakati ndio mitandao ya kijamii inaanza kuvuma nikajikuta nimetongoza kimwana Facebook, cha kushangaza kuja kukutana nae haendani kabisa na ile taswira iliyonivutia, ilibidi nilale mbele ukawa ndio mwanzo na mwisho kushobokea mademu kwa social media...
 
sema fb afadhali mzee unaona hata details fursa nyingi zipo fb
 
Nina lako tu inaonekana unabalaa ww [emoji39] [emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…