Mbinu 6 za kumpata mwanamke JF

Siku nikijua unafake lazima nikuabisheee .

Alafu mm ndo maaana nimeamua kuolewa na mtu ambaye amejiweka open siyo hawa wa kujificha nyuma ya keybord

Unaweza kutana na mwanaume sijui yupoje hafanani na comment wala thread zakee aisee unaishiwa pozi.
Ndo Maana hata Mimi Sioendi napenda Kama nilivyo....Tena huwa Vingine Vizuri siviweki ili aje ni msuprise!
 
kwema[emoji2] [emoji2]
 
wakuu mameni naomba tuanzie Nazi hapahapa
wataalamu wanasema anzia hapohapo,ndege hao wamekuja kwenye ulezi .......
 
na pay attention kitu kimoja wakuu,ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…