Uchafu wa hizo mbinu ni nini?Iko hivi.demand ndio kila kitu.Hata wasipokaa pamoja wakapanga.Mtu hawezi kuzalisha mzigo kama hautoki labda kama ni watoto ndiosheria zina badilika ila kwenye biashara nguvu za soko zinaamua.Sera mbovu na gharama kubwa za uzalishaji zinaathiri soko vile vile so ukitaka kujua tatizo ni nini anza na wewe mwenywe je Una uwezo wa kununua saruji kwa bei gani?Je hio bei itamlipa mzalishaji?Kama jibu ni hapana basi wewe sio demand na hawezi kuzalisha kwa sababu yako.Itabidi afunge kiwanda tu.