Mbinu chafu za Matajiri wa viwanda wanavyoturudisha kwenye umaskini baada ya kulindwa Na sera za biashara kukosa ushindani

Ujamaa ulishisndwa kwani ulikuwa na mtazamo kama huu.
 
Kuna mambo yanasikitisha sana...

Mfano viwanda vya mafuta ya kula...
 
Nimekuelewa Sana, kumbe kupungua Kwa wateja kutokana Na ukata kunaweza kufanya uzalishaji wa kuvizia soko pia kiwanda kufilisika. Sera za unyanyanyi kupitia TRA .police kuwa Na njaa Kali Kwa maroli yanayosafirisha bidhaa nayo inachangia, Tanesco kukata Kata umeme Na tusiambiwe kuwa gesi adimu kinyerezi nayo noma, bado watu wamazingira kulazimisha makosa ili upingwe faini ya haja. Ama Kweli nilikuwa nawalaumu bure kumbe wanakumbana Na Mikasa hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…