Mbinu Chafu za Udini Dhidi ya Kanisa Katoliki, Kunazidisha Umoja wa Wakristo

Mbinu Chafu za Udini Dhidi ya Kanisa Katoliki, Kunazidisha Umoja wa Wakristo

Kumbe mnamchukia Samia sababu ya dini yake!!!
kusema kwamba sasa mmeungana kumshambulia

Hakuna aliyewahi kumchukia Samia kwa dini yake. Anachukiwa kwa matendo yake. Jivi unaamini hata kama ni muislam, mwanaye kauawa na utawala wa Samia, atampenda kwa sababu ni wa dini yake?

Mwalimu Nyerere aliwahi kuramka kuwa mtu alitefilisika kisiasa hujificha nyuma ya dini au kabila. Hakuna aliyewahi kumshambulia au kumkosoa Samia kwa sababu ya dini yake. TEC walimkosoa kwa vitendo vya serikali vya utekaji na mauaji, yeye akakimbilia kujibanza kwenye udini. Ali Kibao alikuwa wa dini gani? Yeye ndiye anahangaika kuwatenganisha watu kwa mtazamo wa kidini, kwa kutaka kuonesha dini fulani au dhehebu fulani ni baya na kutaka kutengeneza dhana matamko ya TEC dhidi ya matendo mabaya ya Serikali yake ni kwa sababu yeye kiongozi ni wa dini fulani, jambo ambalo ni uwongo mkubwa. Watu wanakemea utekaji na mauaji, wewe unasema wanakemea kwa kuwa wewe si wa dini yao, kwa hiyo anamaanisha anapoteka na kuua wanaomkosoa, anatekeleza maelekezo ya dini gani? Dini zote zinafundisha kuua ni dhambi, kudhulumu ni dhambi, atuambie yeye ipi dini yake yeye inayomtaka ateke, aue watu na kuwadhulumu watu haki zao.

Kuteka, kuua watu, kuiba uchaguzi, ni matendo yake, asijifiche kwenye kivuli cha dini. Labda kama yeye na wale wakata vichwa vya watu wana dini yao mpya.
 
Tunaweza kuwa na ushabiki katika mambo yote lakini si hili la udini,linapokuja hili swala tuweke tofauti zetu pembeni na kupinga vikali huu ujinga.

Ni mtu tu asiyeelewa madhara ya vita za kidini ndio anaweza kushabikia haya mambo

TUWE BRAVE ENOUGH KUEPUKA ***** ***** ZOTE ZA KIDINI
Nashukuru kwenye hili hakuna kiongozi wa dini ametoa lawama Kwa waislamu kwasababu ni ishu ya kijinga ambayo hata Mtoto mdogo anajua ni uongo.
Kuwagawa watanzania kwenye UJINGA kama huu ni kujichosha Akili tu
 
Wale waliojiita ni wakatoriki kweli ni marofa na njaa wakiitwa hivi wasikasirike wamekuwa vichekesho hawatorudia tena baada ya walicho kipata
 
Askf atefute jina jingine ilo la Lofa aliwatoshi kabisa
 
Back
Top Bottom