Kumbe mnamchukia Samia sababu ya dini yake!!!
kusema kwamba sasa mmeungana kumshambulia
Nashukuru kwenye hili hakuna kiongozi wa dini ametoa lawama Kwa waislamu kwasababu ni ishu ya kijinga ambayo hata Mtoto mdogo anajua ni uongo.Tunaweza kuwa na ushabiki katika mambo yote lakini si hili la udini,linapokuja hili swala tuweke tofauti zetu pembeni na kupinga vikali huu ujinga.
Ni mtu tu asiyeelewa madhara ya vita za kidini ndio anaweza kushabikia haya mambo
TUWE BRAVE ENOUGH KUEPUKA ***** ***** ZOTE ZA KIDINI
Mchungaji na novena wapi na wapi!!??Ngoja nitafute mchungaj asomee novena
Kwani wale makafiri wa TEC waliosoma Novena na kondoo wao wanaitwaje?Mchungaji na novena wapi na wapi!!??
TECDEMAKumbe mnamchukia Samia sababu ya dini yake!!!
kusema kwamba sasa mmeungana kumshambulia